Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

JK ni mdau wa zengwe hilo, response yake ni ushahidi tosha!
 
Keep in mind, that all government contracts have to have the nod of the AG's office. If most controversial, dubious contracts were signed when a certain AG from 1995-2005, was in power, its obvious then where the responsibility, accountability lies and begins with. And he should be brought to justice in front of the public. Ultimately, of course, the President of the country under whose regime blatant disregard for the rule of law occurs is responsible, and he cannot plead "blindness".
 
That is un objected! That is why the issue of Richmond, Kagoda, and Deep Green are always silenced!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Its well know mbona who is playing who and who is fooling who dig back kwenye asili ya mikataba ya IPTL ndugu JK knows the best
 

Ya kipindi kipi 1977 au 2006
 
Tanzania kuna Kashfa nyingi tu, kashfa ya Richmond,Kashfa ya EPA na sasa Kashfa ya ESCROW . Tanzania Bila ya Kashfa na Ufisadi hatuwezi kuendelea hayo ndiyo Maendeleo yetu. Ma-Kashfa ya kumwaga Ufisadi, Ukimwi, Ujambazi Baadhi ya viongozi wetu wengi wao ni Wasanii tu.
 
Kumbe mda mrefu Dr hana Imani na CDM

Kweli mkuu, ana uchu wa madaraka kwa ulevi wa kisasa (msomi) ndivo wanavyoturubuni na kutugawa{divide then rule) uamuzi uwe mikono yetu ya kupiga kura tuwakatae wote wa tangu enzi za mahindi ya njano.
 


Throw Back Tuesday!
 

Throw Back Tuesday!!
 
Bila shaka hiyo ni kweli. JK huwa anapenda hata mambo madogo yeye mwenyewe, hili asingeliacha.

Yaani, Jasusi ndo unatambua leo kuwa tuna uongozi mbaya? Pole sana!
Prof mbona hatukusomi maana kuna yes or no?
Pili tunataka kujua kama yes Rais aliingiaje?
Je kwa mujibu wakatiba na sheria zetu nani ni mtendaji mkuu na msimamizi wa maswala ya kiserikali?

Prof tuwe wa kweli Lowassa anauongopea umma wa watanzania akijuwa kuna mambo mengi hatuyajuwi na kwa kulitambuwa hilo anatafuta huruma za kisiasa ila huyu ni muongo tena mnafiki anajuwa alichokifanya na nilazima ajuwe majibu yatatoka soon.
 
Mzee wangu neno lako limeishi...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…