Sakata la Ufisadi wa Kemsa nchini Kenya limesababisha wazungu kuacha kutoa Pesa za Malaria, Ukimwi na afya kwa ujumla!
Sasa hivi wagonjwa na waathirika wanahangaika na Viongozi nao wanahangaika kurudisha Imani kwa Mabeberu ili waendelee kupatiwa misaada!
Ubinafsi umepitiliza Afrika.