Sakata la kununua viewers: Ommy Dimpoz na Ali Kiba waumbuliwa na mwakilishi wa Youtube E/Africa

Hao hawana lolote diamond yuko juu yao kinachowasumbua ni wivu tu wakubali jamaa Mungu kamuinua hakuna anaeweza kupingana na maamuzi ya Mungu kamwe.
 
Mm binafsi huwa sioni muziki wa Alikiba na huyo ommy lakini kwa diamond hata mtoto wa miaka 2 anaimba na kumjua diamond na hata mtoto wangu wa miaka 2 anamjua huyu jamaa hiyo ni kwa sababu ya kazi zake nzuri, nawaomba tu ommy na alikiba na wengine ambao wanachukizwa na mafanikio ya diamond wakaze boot watafika alipo mwenzao
 

Hivi mnalipwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…