M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,203 Reaction score 23,027 Jun 14, 2020 #1 Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini. Zitto amesema mahesabu yanakataa. Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa! Pitia presentation slides zake hizi hapa chini....
Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini. Zitto amesema mahesabu yanakataa. Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa! Pitia presentation slides zake hizi hapa chini....
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jun 14, 2020 #2 Mambo ya Yesu!!
K kinsakina JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,080 Jun 15, 2020 #3 jamani.yesu wa chato
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,039 Reaction score 1,584 Jun 15, 2020 #4 Wabunge kutoka kusini walilijaribu jiwe lisilojaribiwa
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jun 15, 2020 #5 Salary Slip said: Mambo ya Yesu!! Click to expand... Yesu anaeonea wanyonge
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 15, 2020 #6 Yesu FAKE wa chato. Salary Slip said: Mambo ya Yesu!! Click to expand...
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 15, 2020 #7 Yesu FAKE mwenye roho mbaya na chuki za kutisha kwa wanaomkosoa. Sky Eclat said: Yesu anaeonea wanyonge Click to expand...
Yesu FAKE mwenye roho mbaya na chuki za kutisha kwa wanaomkosoa. Sky Eclat said: Yesu anaeonea wanyonge Click to expand...
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 1,899 Reaction score 4,055 Jun 15, 2020 #8 Bunge linavunjwa lini?
J jaranono JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,023 Reaction score 1,627 Jun 15, 2020 #9 darubin ya mbao said: Bunge linavunjwa lini? Click to expand... Kesho!!
V Volodimiri Zelensiki JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,154 Reaction score 3,417 Jun 15, 2020 #10 yesu mwana pombe kafanya yake
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,610 Reaction score 13,168 Jun 15, 2020 #11 Salary Slip said: Mambo ya Yesu!! Click to expand... mkuu tumia herufi ndogo hilo jina kumaanisha huyu mwanadamu mwenzetu.
Salary Slip said: Mambo ya Yesu!! Click to expand... mkuu tumia herufi ndogo hilo jina kumaanisha huyu mwanadamu mwenzetu.
chase amante JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 5,599 Reaction score 2,115 Jul 27, 2020 #13 Jiwe kawapa bilioni mbili hao