CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kuua bila kukusudia maana yake ni nini? Naomba majibu waungwana.
Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.
Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.
Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.
Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.
After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.
Rip Kanumba.
Pasco
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, .........
Rip Kanumba.
Pasco
Pasco umenena kibinadamu na kimungu. Jamani tusubiri ripoti ya madaktari.Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.
Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.
Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.
Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.
After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.
Rip Kanumba.
Pasco
Come on, who cares?nimesomea vitu vingine
manslaughter ni nini?@ChuaKachara
Tusubiri magazeti ya udaku kesho ndo yatakuja na data za ukwee.
Ndugu yangu ugomvi wa nini mimi nimeshakuambia kuwa nipo pande za mkoa mpya wa Katavi na TV kwetu ni shida na last update ambayo nilisoma kwenye gazeti ambalo nilibahatika kulisoma walisema kuwa Lulu alikua under 18 ni juzi tu according to Majamba JR anasema kuwa J3 ktk Mkasi ambacho kama sikosei ni kipindi cha TV ndo amethibitisha kuwa binti huyo ametimiza sasa miaka 18. So mi sioni kama ni shida unless kama wewe ni ndugu yake Lulu au una agenda au ulikua unashare kwenye mawindo yakelulu anamiaka 18
magazeti ya udaku huandika udaku tu hayana ukweli
Niliposikia na yeye kaumia tu, nikawa na wasiwasi itakua ni self defenceNamsikitikia sana Lulu. Watu wanamhukumu bila ya kujua kilichotokea. Inawezekana ikawa ni self defense, sisi hatujui kwa sasa.
Tuacheni mamlaka husika vifanye kazi yake
Its mean kwamba LULU ana Muder case n No Dhamana? N kuna tetesi its mom ni Muhaya so hawezi potezea hiyo kesi.???
Correction-it means not its mean....Murder not muder
His\her mom not its....may be when ur talking about a dog and even a dog we normally use SHE not it
Simple....tumia kiswahili