Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

nafkiri ungeanza na watanzania wengine waliopo gerezani bila hatia ndo umalize na uyu binti mana wapo wenye kesi kama izo wengi tu na hawana wa kuwasaidia wanasota jela tu
 
nashukuru wote mlio nitumia private message, kimsingi zimenipa direction wapi pa kuanzia! pia hata nyie mnaocomment, ninataka kuwasiliana na familia ya LULU, kama itaniruhusu niko tayari kuwasaidia, hii kesi ni ndogo sana kwangu!
 
Unataka kukafanya nini katoto ka watu? bado hakajakua!
 

Uko sahihi lakini kama anashtakiwa kwa manslaughter (mauaji ya bila kukusudia kama Ditopile) na sio Murder (kuua kwa kukusudia). Itachukua muda kidogo kuamua which is which between the two sio siku moja ama mwezi mmoja kama unavyodhani. refer Ditopile case
 
Ni sawa na una haki ya kufanya hivo..pia bado tunasubiri report za madaktari na police ..anything can happen..
Nasikitika kwa kifo cha Kanumba na pia namsikitia sana huyu mtoto bado mdogo sana kukumbwa na mikasa mizito kama hii
 

kweli mkuu Mtu hana taaluma ya udakitari, wala maiti hajaiona, yet ripoti ya post-mortem haijatoka bado, afu anadai Lulu kaua.
Tuombe Mungu madakitari, polisi na wapelelezi wawe fair katika uchunguzi wao.
Lulu is too delicate to kill a human being, sijui kama ana ujasiri hata wa kuchinja kuku yule, na ndio mana najipanga kuja dsm any time for that, wanafamilia wanajadili ili niweze jua nitasaidia vipi
 
umsaidie au upate chance ya kumt*m*a?stupid opportunist

kuna watu sijui mnawazia kwa kutumia sijui nin?hebu fikiri kama angekuwa mtoto wa nduguyo afu kule omba MUNGU usifike,ukifika utakumbuka ***** unaoposti hapa kama huna elimu ya sheria kaa kimya ...
 
Vipi ulikuwa unatafuta mchumba?
 

Ni kweli kabisa kuzingatia kwamba ni mkurugenzi wa mashtaka pekee mweye uwezo wa kuangalia ushahidi wote ambao unakusanywa hivi sasa.

Bila yeye kutoa uauzi kama ni murder au manslaughter sisi bado tutakuwa tunajadili lakini hatufahamu mambo yanakwendaje.
 
kuna watu sijui mnawazia kwa kutumia sijui nin?hebu fikiri kama angekuwa mtoto wa nduguyo afu kule omba MUNGU usifike,ukifika utakumbuka ***** unaoposti hapa kama huna elimu ya sheria kaa kimya ...
Halafu kwa uzito huo huo imagine kwamba wewe ndio Mama/Baba/Mtoto or with close Family ties na Kanumba ungejisikiaje? Na wewe usipost hapa kama huna Elimu ya ufahamu.
 
Hata mi ningekuwa uwezo ningemsaidia

kweli ndugu tumpe support dogo maana kweli tumepoteza ya mwenyezi yaheshimiwe na msaada kwa huyu aliyeangukia mikono ya dola tuangalie vile tunaweza tumsaidie apate haki yake ile ilimpasa kupata.
 
Simpendi lulu ni mtoto mdogo asiyekuwa na chembe ya heshima simuonei huruma...amemsumbua sana mama yake mzazi,acha azeekee huko jela ametumika vya kutosha hakika asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.

ogopa kule hakuna mzoefu wala anayependa kwenda kule ndo ukweli huo muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio.
 

mi ninazo picha zake za utupu km vp nitumie e mail yako nikurushie
 
 
kweli ndugu tumpe support dogo maana kweli tumepoteza ya mwenyezi yaheshimiwe na msaada kwa huyu aliyeangukia mikono ya dola tuangalie vile tunaweza tumsaidie apate haki yake ile ilimpasa kupata.
Na mama yake Kanumba apewe sapoti na nani? Huu sio wakati wa kuegemea popote cha muhimu haki itendeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…