mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady
Halafu kwa uzito huo huo imagine kwamba wewe ndio Mama/Baba/Mtoto or with close Family ties na Kanumba ungejisikiaje? Na wewe usipost hapa kama huna Elimu ya ufahamu.
Huyu ni complete total a murder,.......asipokuuwa kwa kisu ni lazima akuuwe kwa magonjwa ya zinaa!!ndugu kweli inauma tena inauma sana lakini wote tuombe dola itekeleze vile inatakikana kwa sababu mwenye elimu ya sheria amepatikana kwa kile nachojua hiyo sio murder ni manslaughter kama kawaida ya kesi za nchi yetu za namna hii lazima situation ya mtendaji ipewe kipaumbele na mtendewaji...afu ndugu kuna wakati mtu unajikuta katika sintofahamu kutokana na hili au lile...rejea kesi ya ditopile mzuzuri...huyu anayetaka kumpa msaada ampe vile anaweza...na sheria sipendi ifanye upendeleo wa namna yeyote ile utende haki.
unahakika kuwa ni picha zake za utupu?what if kama ni za adobe photoshop?mi ninazo picha zake za utupu km vp nitumie e mail yako nikurushie
unahakika kuwa ni picha zake za utupu?what if kama ni za adobe photoshop?
mi ninazo picha zake za utupu km vp nitumie e mail yako nikurushie