Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?


Wewe ukiwa mwanasheria basi dunia haina wanasheria, huna lolote kwanza si ajabu upo KWAMTOGOLE unazuga tu.
 
Tatizo la watz na hata waliopewa mamlaka ya kufanya uchunguzi wa kujua ni nani na nini kimemuua Steven ni kupenda kusikiliza na kuyaamini haraka wanayoyasikia.......... Ningekuwa mimi katika mazingira ya kifo hicho lazima na Mdogo wa marehemu angekuwa lupango ili kusiwe na muingiliano wa kupewa maneno ya kusema, kwani mpaka sasa inaonekana tayari kuna kauli ya pamoja kutoka kwa viongozi wa kamati ya Mazishi hakuna alie tayari kusema ni nini hasa kilitokea na badala yake wanasema tusubiri jeshi la police.......kuna maswali mengi ya kujiuliza Marehemu Kanumba na lulu walipofanyiwa mahojiano na kipindi cha mkasi walisema hawana wachumba, je Lulu nyumbani kwa Kanumba alifika mwenyewe? au kanumba ndiye aliyemleta Lulu? na kwa shughuli gani? ndugu wa kanumba aliyekuwa anaishi naye anafahamu mahusiano ya Kanumba na Lulu? Kanumba baada ya kufika Nyumbani alikuwa analichunguza gari lake kwa kulizunguka lilikuwa au lina matatizo gani? mdogo wa kanumba alikuwa wapi? wakati tukio linatokea na alijuaje?Je si kisasi cha kudhulumu au kudhulumiwa kibiashara eitha na washirika au watu wengine?, wivu wa kimapenzi au wa mafanikio?MY WORD IS MY BOND......
 
Mimi napita tu njia hapa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!
 
ni kweli ili haki ionekane inatendeka. tusimhukumu huyu binti kama ilivyo kawaida yetu wakuu. tuwe na weledi.
 
Acheni Kuminya Wanajamii kumbukeni ni Nyegez zilimfikisha hapo alipo! Maana huwezi kuchukua Kila Demu Mzuri wengine Balaa.

Mkataa Pema siku zote Pabaya panamuita! Na Dawa ya Jeuri ni Kusudi.

Nenda Kanumba ukutunate na Hukumu ya Mungu sisi wanadamu tusioijua maana nasi tunakuja but umeacha FUNZO KUU kwa Mastaa wenzako wapenda Uvungu kuliko Mungu kwanza!.

Chezea vyote ila si Uvungu!
 
Sema huyu dogo alikua anamdharau sana mama ake,akiambiwa asikii,kisa staa,mama atalia mengi
 

haki yako mzazi maana katoto kenyewe kanaita kinoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.:nod:
 
Simpendi lulu ni mtoto mdogo asiyekuwa na chembe ya heshima simuonei huruma...amemsumbua sana mama yake mzazi,acha azeekee huko jela ametumika vya kutosha hakika asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.

Jiandae kuzaa uchague kulea
 
nashukuru wote mlio nitumia private message, kimsingi zimenipa direction wapi pa kuanzia! pia hata nyie mnaocomment, ninataka kuwasiliana na familia ya LULU, kama itaniruhusu niko tayari kuwasaidia, hii kesi ni ndogo sana kwangu!

unaudhi sana wewe
 
lulu hana kesi ya kujibu hakukusudia,pili alikua anajidefend akamsukuma,ila tumejua kuwa wanachokiigiza hawawez kukifanya kanumba nae mal*** tu
 
Kifo cha Steven Kanumba utata mtupu, tuache polisi wafanye kazi yao. kwani kifo ni mpango wa mungu.
 

Hii MKUU sio ambulance chasing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…