Sakata la Makinikia linatuonesha Watanzania tusivyo wamoja

Wewe huwa ni mpuuzi tu, kitu hujui nyamaza
Akili yako inakutosha kuvaa na kuvua nguo tu unapiingiliwa na mumeo. Huna ubongo wa kuchakata mada kama hizi. Haya nenda ukavue usubiri shughuli ya usiku
 
Ina maana huamini zile ripoti? Na yale majadiliano ya kina Kabudi je ?
 
Shida kubwa katika taifa letu ni siasa uchwara za viongozi wetu,mikataba mingi imekuwa ikisainiwa kisiri siri hivyo umma kukosa nafasi hadhimu ya kujua nini kilichopo ndani mfano mwingine wa mkata ambao mpaka leo umeacha umma katika hali ya dilemma ni mkataba wa bandari ya Bagamoyo kila mtu anazungumza lake.
 
Mkaulizane hayo maswali hule Lumumba.

Madini ni mali ya ccm. Mkiamua uzeni mkione hayawatoshi uzeni na watanzania kabisa.

Yangu ni hayo tu.
 
5. Chama cha mapinduzi CCM kilimpitisha, Deo Mwanyika, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Acacia kuwa mgombea ubunge wa Njombe mjini.

6.Kama Acacia walituibia kiasi kikubwa namna ile inawezekanaje mmoja wa watendaji wake wakuu aaminiwe na Ccm kuwa mbunge?
My gut feeling is Pombe Magufuli called up Deo Mwanyika and said ukinipa za ndani za ujambazi wa Barrick nakuachia na nakuingiza kwenye system.

Pombe Magufuli's operations were wildly informal and recklessly offhanded.

It is not inconceivable that Deo Mwanyika unofficially became a government informant.
 
5. Chama cha mapinduzi CCM kilimpitisha, Deo Mwanyika, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Acacia kuwa mgombea ubunge wa Njombe mjini.
Kila nikitafakari hili jambo naona kama Magufuli alikula mchongo na Barick. Kwa nini Deo ambaye ni mtuhumiwa wetu aliyewekwa ndani muda wote huo, asamehewe kwa kuambiwa alipe fidia na mara akaenda kuwa mgombea ubunge wa ccm?
 
Inawezekana pia
 
Kila nikitafakari hilinjambo naona kama Magufuli alikula mchongo na Barick. Kwa nini Deo ambaye ni mtuhumiwa wetu aliyewekwa ndani muda wote huo, asamehewe kwa kuambiwa alipe fidia na mara akaenda kuwa mgombea ubunge wa ccm?
government informant

nataka kumpa Pombe Magufuli benefit of the doubt. I can't help but give it to him.

Yule mzee alikuja Tarime akasema nimekataa kuja na helikopta kutokea Butima ili nijionee mavumbi na makorogesheni ambamo nyinyi mnapitiaga.

Nimekuja kuwauliza, kuna faili moja limekuja ofisini kwangu kuna tajiri huku anaomba ekari za kufa mtu ajenge mradi wake. Nimpe ? Anachukua ardhi ya nani ? Mna hakika ????? Halafu akataja shady businessmen wa mkoa wa Mara ambao wako kwenye mradi huo na nusu yao ni marafiki zake wa kuzikana lakini ni questionable characters, hawaaminiki.

Aiseeeee..... Uzalendo uliotukuka.

Kuna kiongozi gani aliyewahi kuweka pending faili la tajiri ambae ni rafiki yake wa cha ndimu, kwenda kuwauliza masikini wachafu eti alishughulike vipi li mchongo hilo badala ya kumalizana nae kwenye simu ????... Never ever across the vast land and history of Africa.
 

..Deo could have given him any garbage in order to be released from jail.

..also barrick and acacia were listed in stock exchanges so information about their finances and operations are publicly available.

..ushahidi au taarifa zinazopatikana kwa torture au blackmail sio za kuaminika, wataalamu wa uchunguzi wanasema.
 
Kila nikitafakari hilinjambo naona kama Magufuli alikula mchongo na Barick. Kwa nini Deo ambaye ni mtuhumiwa wetu aliyewekwa ndani muda wote huo, asamehewe kwa kuambiwa alipe fidia na mara akaenda kuwa mgombea ubunge wa ccm?

..Kwanini usd 300 badala ya usd 191 billion?Je, kuna hongo imetembea? Au ripoti zilikuwa na hitilafu?

..Kwanini waliotajwa kuiingiza serikali hasara hawakuchukuliwa hatua? Kwanini hawakuandamwa kuwa ndio wasaliti wa taifa letu?

..Kwanini muandamizi wa Acacia, Deo Mwanyika, ateuliwe kugombea ubunge wa Ccm? Kweli tuna uchungu na mwenendo wa Acacia nchini kwetu?

..Na kwanini tumekwenda kupiga marisasi kwa nia ya kuua mkosoaji wa ripoti za serikali. Hivi mkosoaji wa ripoti anastahili kuuwawa, na muandamizi wa Acacia anastahili ubunge wa Ccm?

..Kwa maoni yangu ripoti zilikuwa na malengo ya KISIASA tu.
 
.Kwa maoni yangu ripoti zilikuwa na malengo ya KISIASA tu.
Hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. Magu na Kabudi walikuwa walaghai tu. Makinikia bandarini hatimaye waliayaachia yaendelee na safari ya ughaibuni na kiwanda cha kuchenjua hayo makinikia hakijajengwa.

Leo hii ukiwauliza faida za hiyo Twiga iliyoanzishwa na tunayoambiwa tuna ubia nao utashangaa wataleta story za uongo na kulalamika bado wanaibiwa.
 
Ina maana huamini zile ripoti? Na yale majadiliano ya kina Kabudi je ?

Kwanza majadiliano ya kina Kabudi yalikuwa na usiri mkubwa, huku yakigubikwa na jazba ya kiburi cha madaraka ya jiwe, hadi leo Kabudi hajawahi kusema ukweli wa majadiliano yale zaidi ya kupiga siasa mfu. Hakuna popote waliweza kudhibitisha kuwa tunawadaia hao Barrick, ndio maana walitoka na majibu ya blahblah kwani kick alizotaka Magufuli na serikali yake hazikufanikiwa.

Hao Barrick wenyewe walikubali kutoa $300m sio kwa sababu tulikuwa tunawadaia, bali walisema ni nia njema (goodwill) ya kufanya biashara na sisi. Kwa maneno marahisi ilikuwa ni kuipunguzia aibu serikali ya Magufuli baada ya kukuza jambo lile kwa Papara na kusaka sifa za bei rahisi za kisiasa. Kibaya zaidi hiyo $300 ambayo serikali ya Magufuli iliomba kama nitoke vipi, Barrick walisema watalipa kwa awamu, na hakuna uhakika kuwa ililipwa yote.

NB: ni aidha nchi hii haina raslimali za maana CCM wanazohadaa kuwa tunazo, ama tuna watu wajinga wanaoshurutisha kukaa madarakani huku hawana uwezo wa kutumia raslimali tulizonazo. Maana kama kweli tungekuwa na raslimali za maana tusingeona wakikimbizana na tozo kwenye fedha za masikini.
 
Broo

Hakuna kampuni duniani, privately held or publicly traded on stock markets, inaweka wazi machafu chafu yake kwenye financial reports!

GOLDMAN SACHS, LEHMAN BROTHERS, MERRILL LYNCH, BEAR STERNS, hawakuandika kwenye financial statements zao kwamba sasa tunaenda kupiga wananchi mchongo wa mortgage lending!

Barrick Gold hawakuandika kwenye financial statements kwamba sasa tunaenda KUPIGA MAKINIKIA NA TUTADANGANYA KWAMBA THEY ARE WORTH PENNIES!

Lakini Deo Mwanyika alijua!

Kumpa mfungwa plea deal ya kumpunguzia adhabu ili akupe mchongo sio coerced confession. Inafanywa dunia nzima.

Tatizo ni Deo kupewa Ubunge hata kama alikuwa government informant.
 

Hamna lolote, zile zilikuwa cheap politics, jamaa alikuwa ni bingwa wa siasa za kick. Toka lini viongozi wa nchi hii wakauliza jambo kwa mbwembwe hadharani? Kibaya zaidi kwenye ile mikutano ya kusaka kiki ikitokea ukauliza swali gumu ambalo hapendi, ulikuwa unajikuta matatizoni! Wengi wa waliokuwa wanaulizwa walikuwa wamepangwa ili kutengeneza kiki za kisiasa. Kama kweli alikuwa na uwazi huo, yale mazungumzo ya kina Kabudi yangewekwa hadharani.
 
Uko sahihi kabisa, kuna nyuzi kadhaa za wakati ule wa lile sakata nilihoji, kuwa kwanini Lisu apigwe risasi kuwa ni msaliti, wakati kuna watu walitajwa kabisa kwa majina kuwa waliliingiza taifa kwenye mikataba mibaya, na ripoti ilitaka wakamatwe kama Andrew Chenge, Daniel Yona, Karamagi nk, lakini hawakukamatwa, wala kuchukuliwa hatua yoyote, bali Magufuli akabaki kucheza na siasa za CCM na CDM kwenye suala lile!

Pale ndio nilijua Magufuli kuwa jambo lile alikichukulia kwenye siasa nyepesi za kupambana na CDM, ili ionekane ameiimarisha CCM dhidi ya CDM! Ndio maana aliona ufahari kumshambulia Lisu kwa risasi, huku akiwaacha waliotajwa kwenye ripoti kuwa ndio hasa wasaliti. Inshort Magufuli jambo lile alideal nalo kwa level ya ushindani wa CCM na CDM na sio kwa uzito wa jambo lenyewe. Ndio maana hakupata matokeo, au support aliyotaka.
 
Akili ndogo "kugawiwa" madaraka.Ndiyo shida ilipokuwa.
 

Ukitaka ucheke ufe, subiri wakati Kabudi anaeleza faida za hiyo kampuni ya twiga. Utasikia tuna hisa 16%, na faida tunagawana 50/50! Yaani huwa sijui yule mzee anaongea nini. Sana sana huwa naona ni kama zile stori za kalumekenge hataki kwenda shule. Sasa hivi wamebaki na tozo kwenye line za simu, sasa sijui ni kwanini hawaendi kuchukua hizo 50/50 huko kwenye madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…