Salaam wakuu,
Sakata la manara limezua mjadala mkubwa sababu watu wengi wanaona hukumu ilotolewa haiendani na kosa, haiingii akilini kupishana kauli likawa kosa la kutolewa adhabu ile.
manara ashapewa adhabu huko nyuma bt watu hawakulalamika sababu adhabu zilikua fair sio kama hii ya sasa ilokaa kimchongo.
Tff, Jitafakarini kabla hamjaliharibu soka letu kwa maamuzi yalojaa chuki, yasoendana na uhalisia wa makosa.