Tetesi: Sakata la Manji

Tetesi: Sakata la Manji

Acha upumbavu basi... Mada Kama sio mpya katoe maoni au uulize maswali kwenye mada zinazoendelea. Tunakuja mbio tunadhani kuna jipya kumbe comment tu. @Mod1pls unganisha kwenye thread ya manji
 
hutaki habari ya zile hela zake zilizokamatwa pale st. gaspar dodoma mwaka 2015 wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu?
 
Wadau kama kuna kipande cha Manji alichosema kuwa yeye haongei na mbwa ila anaongea na mwenye mbwa naomba akiweke apa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo ni story za kutunga tu!

Wizara alizohudumu Magufuli kabla ya kuwa Rais hazimkutanishi na Yusuph Manji

Manji deal zake zilikuwa Wizara ya Kazi kupitia NSSF
Wizara ya Mambo ya ndani na Ulinzi kupitia tender za kwny Majeshi!

Kwani nae Sumaye alimtukana JPM
Au Seth au Ruge nao walitukana?

Aveva na Kaburu nao walimtukana

Malinzi jee?

Mbona Hans Pope mpaka Leo hajaguswa japo aligombana nae Kwmy Malori

Mbona kina Mtemvu na Zungu waligombana nae kwny Kivuko kupandisha nauli lakin Hakuna kitu?
Manji Ana kesi na Serika sio John Magufuli
 
Back
Top Bottom