Habari za juzi kutoka magazetini na blogs zasema msanii Mbasha kabaka nduguye. Inavyoelekea huyu jamaa anamuiga Uncle Lundenga kwa vioja vyake na anatumia uimbaji nyimbo za Injili kama danganya toto. A wise man told me one day kuwa hawa waimbaji wa nyimbo za Injili pamoja na manabii wao ni wasanii na ukifuatilia mienendo yao kiundani utashikwa na simanzi au haibu.