Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

BabuKijiko

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
24
Reaction score
38
Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
 
Raia wakiona kuna mtu anapambana kwa ajili ya ufisadi n lazima wawe upande wake hata kama hawajui kinachoendelea kama vile ilivyokuwa kwa JPM
 
Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
View attachment 3027384
Yaani badala ya kumwadhibu Bashe kwa kusema uongo, wanamwadhibu aliye sema kweli? Hii ina maana kuna mkono wa mtu mkubwa kwenye huo ufisadi
 
Hii nchi hatapata maendeleo mpaka Yesu atarudi!

Yaani kwa Tanzania, mtu kuwa fisadi ni sifa? Na kwamba anahaki ya kulindwa tena kwa nguvu zote?

Kwa nchi za wenzetu! Kwa sakata la sukari ilipaswa mtu mmoja auwawe kwa kunyongwa hadharani
 
Back
Top Bottom