BabuKijiko Member Joined May 3, 2024 Posts 24 Reaction score 38 Jun 27, 2024 #1 Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15 Your browser is not able to display this video.
Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15 Your browser is not able to display this video.
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,052 Reaction score 2,163 Jun 27, 2024 #2 Mpina anafaa kuwa rais
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jun 27, 2024 #3 Raia wakiona kuna mtu anapambana kwa ajili ya ufisadi n lazima wawe upande wake hata kama hawajui kinachoendelea kama vile ilivyokuwa kwa JPM
Raia wakiona kuna mtu anapambana kwa ajili ya ufisadi n lazima wawe upande wake hata kama hawajui kinachoendelea kama vile ilivyokuwa kwa JPM
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jun 27, 2024 #4 Mbaga Jr said: Raia wakiona kuna mtu anapambana kwa ajili ya ufisadi n lazima wawe upande wake hata kama hawajui kinachoendelea kama vile ilivyokuwa kwa JPM Click to expand... Kweli Mkuu. Mpina kwa hili kwa kweli ameonesha Uzalendo
Mbaga Jr said: Raia wakiona kuna mtu anapambana kwa ajili ya ufisadi n lazima wawe upande wake hata kama hawajui kinachoendelea kama vile ilivyokuwa kwa JPM Click to expand... Kweli Mkuu. Mpina kwa hili kwa kweli ameonesha Uzalendo
K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Jun 27, 2024 #5 Mpina yuko sawa asilimia 100
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,768 Reaction score 4,038 Jun 27, 2024 #6 BabuKijiko said: Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15 View attachment 3027384 Click to expand... Yaani badala ya kumwadhibu Bashe kwa kusema uongo, wanamwadhibu aliye sema kweli? Hii ina maana kuna mkono wa mtu mkubwa kwenye huo ufisadi
BabuKijiko said: Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15 View attachment 3027384 Click to expand... Yaani badala ya kumwadhibu Bashe kwa kusema uongo, wanamwadhibu aliye sema kweli? Hii ina maana kuna mkono wa mtu mkubwa kwenye huo ufisadi
Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Jun 27, 2024 #7 Nchi Ina Spika mwenye umbile kama shetani hio nchi ni ya ajabu sana
Nsanzagee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 2,209 Reaction score 4,769 Jun 27, 2024 #8 Hii nchi hatapata maendeleo mpaka Yesu atarudi! Yaani kwa Tanzania, mtu kuwa fisadi ni sifa? Na kwamba anahaki ya kulindwa tena kwa nguvu zote? Kwa nchi za wenzetu! Kwa sakata la sukari ilipaswa mtu mmoja auwawe kwa kunyongwa hadharani
Hii nchi hatapata maendeleo mpaka Yesu atarudi! Yaani kwa Tanzania, mtu kuwa fisadi ni sifa? Na kwamba anahaki ya kulindwa tena kwa nguvu zote? Kwa nchi za wenzetu! Kwa sakata la sukari ilipaswa mtu mmoja auwawe kwa kunyongwa hadharani