Good akili mu kichwa sasa!Alilipiwa kila kitu kilichopo kwenye mkataba. Ndio maana Yanga wakajaribu kuleta utetezi wa mishahara 3 ya mwisho. Zilipoletwa risiti za mishahara kutoka CRDB ikabidi wakiri kwamba walimsajili Kessy akiwa na valid contract na Simba. Suala hili lisingefika huku kama Yanga wangewasiliana na Simba kwani mkataba ulibakiza siku 5.Lakini ujinga wa viongozi waliopewa jukumu hilo ndio haya tunayojaona leo.
Na katk hili ndo maana Simba wamewahi kudaiwa na Msoti,, Yanga wanadaiwa na Tegete huyo Dogo kijasho kitamtoka lazima Bilioni yetu atoe tu.Singano ni kosa la Simba kutotimiza masharti ya mkataba ya kumlipia pango. Yondani na Ngassa hawakuwa na vipengele vya aina hiyo. Wacha kutoa mifano mfu. Ukivunja mkataba upande uliovunja mkataba upo liable kulipa fidia kutokana na masharti ya mkataba.
Angalia kandambili zitakimbia humu...Dadadeki,, Yanga wanachangia ujenzi wa uwanja wa Bunju bila kupenda,,
1: Hamsini Million tunachukua
2: Kesi inapelekwa mbele Caf
3: Alafu baadaye tutaisogeza pale Fifa hadi kandambili inyooke kabisa Kama rula Uwanja utaisha kwa style hii.
Kunakituo kimoja cha redio nao waliingia kichwa kichwa wakiamini Simba huwa inawalipa wachezaji kienyejibenyeji kiasi kwamba kusingepatikana salary slip...nao wameumbuka...Alilipiwa kila kitu kilichopo kwenye mkataba. Ndio maana Yanga wakajaribu kuleta utetezi wa mishahara 3 ya mwisho. Zilipoletwa risiti za mishahara kutoka CRDB ikabidi wakiri kwamba walimsajili Kessy akiwa na valid contract na Simba. Suala hili lisingefika huku kama Yanga wangewasiliana na Simba kwani mkataba ulibakiza siku 5.Lakini ujinga wa viongozi waliopewa jukumu hilo ndio haya tunayojaona leo.
mbumbumbu mbafarijiana?ligi inaanza weekend ijayo mtajua wanaume ni kina naniAngalia kandambili zitakimbia humu...
Tatizo lipo kwa yanga kupeleka jina caf wakati bado kesy hajasajiliwa rasmi, lkn kwenye ligi hakuna shida maana mkataba umesainiwa baada ya mkataba wake kuishaAdhabu ndogo sana Simba watumie haya maamuzi kufungua kesi ya madai. Vipi kuhusu mechi alizocheza Kessy itakuwaje?
Muda huu tumebeba ndoo pale chamazi...mbumbumbu mbafarijiana?ligi inaanza weekend ijayo mtajua wanaume ni kina nani
Akikujibu nibipu...Kwani matokeo ya friend mechi ya wiki hii na JKU yapoje? Tujuze