Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Jambo kuu la msingi linalodhoofisha performance ndani ya uwanja ni migogoro isiyokwisha ndani ya uongozi wa klabu Yanga
Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu
Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu
- Yanga GSM
- Yanga Msola (na menejiment yake)
- Yanga asili (wazee)