Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Pale wanaruhusu kuingia bila barakoa?Msamehe mkuu yupo Doria Nairobi referal hospital so anaandka kwa kuibia ibia
Mkuu mm npo namanga hapa napeleka njugu Sasa dereva anajhis vibaya hofu yangu atalazwa kule.Pale wanaruhusu kuingia bila barakoa?
Hizo hazina, ila zina changamoto ya upumuajiMkuu mm npo namanga hapa napeleka njugu Sasa dereva anajhis vibaya hofu yangu atalazwa kule
Kwan njugu nazo zna aflatoxin mkuu?
Itajulikana hukohuko nimeongea na mwenyej wangu ananiambia bwana juma p maharage mkaz wa kibera naye anachangamoto hiyo so yupo Nairobi Hospital Juma alikuwa mbishi sana wa kuvaa barakoa n kiongizi wetu wa kanisa ukanda huu wa maziwa makuu.Hizo hazina, ila zina changamoto ya upumuaji
Au nasema uongo ndugu yangu?
Nimeandika hii thread usingizini 😁 lakini cha msingi ujumbe mkuu umewasilishwa😎Duh hii thread mbona kama imekatika au umemaliza?
Kwani simba hayo hayakuwepo, yalikuwepo mpaka sasa yapo nayataendelea kuwepo.Nimeandika hii thread usingizini 😁 lakini cha msingi ujumbe mkuu umewasilishwa😎
Semaji la Yanga katika ubora wakoJambo kuu la msingi linalodhoofisha performance ndani ya uwanja ni migogoro isiyokwisha ndani ya uongozi wa klabu Yanga
Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu
Msola na genge lake pamoja na wazee wanapinga transformation GSM wanayotaka kwasababu wanajua fika watapoteza ugali wao pamoja influence ndani ya klabu.
- Yanga GSM
- Yanga Msola (na menejiment yake)
- Yanga asili (wazee)
Mbona iko shallow in deep..Jambo kuu la msingi linalodhoofisha performance ndani ya uwanja ni migogoro isiyokwisha ndani ya uongozi wa klabu Yanga
Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu
Msola na genge lake pamoja na wazee wanapinga transformation GSM wanayotaka kwasababu wanajua fika watapoteza ugali wao pamoja influence ndani ya klabu.
- Yanga GSM
- Yanga Msola (na menejiment yake)
- Yanga asili (wazee)