Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
View: https://m.youtube.com/watch?v=xEU5GWcrF_A
Msikilize huyu bwana ambae amejaribu kukuza mambo not knowing kwa mujibu wa sheria anayosema ni matatizo. Kutotunza nyaraka na kuwapa TRA deni, ambalo wakitaka kulihakiki sehemu nyingine duniani umejitafutia matatizo makubwa sana.
Kwa mujibu wa sheria husika unatakiwa kusoma section ifuatayo👇
Kwenye hiyo sheria kigezo cha ushahidi ni hii section 89 (inaelezea booking records) na hayo mambo utayakuta kwenye sheria zote za kodi duniani for auditing purposes.
Wafanya biashara wa Tanzania awatunzi hizo info na wakikaguliwa (mind you that’s only way you can determine tax credit or debt kwa serikali wanalalamika), halafu mwakilishi wao analalamika serikali inadai nyaraka bila ya yeye kufahamu sheria inasemaje.
View: https://m.youtube.com/watch?v=71_ha74BWv8
Worst msikilize huyo mwenyekiti eneo ambalo lina registered 40,000 VAT taxpayers ambao at mean calculations wanatakiwa kuipa serikali monthly tsh 120 billion, kwa sasa mchango wao ni tsh 14 billion.
If you are a TRA au waziri wa fedha ina maana Kariakoo unapoteza tsh 106 billion kwa mwezi.
Sasa kama nchi inapoteza zaidi ya trillion moja kariakoo nchi nzima inapiteza kiasi gani.
Food for thought, hiyo nchi inaendeshwa kwa mzaha.