joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Zaidi soma > Kenya: Wasiojulikana wazidi kuua, miili ya wawili yapatikana, idadi ya waliouawa wafikia 29
MY TAKE;
Bado tunasubiri idadi ya wakenya watakaouliwa katika uchaguzi, na hakuna mtu hata mmoja atakayekamatwa Wala kuchunguzwa, hiyo ndio tofauti Kati ya "Civilized and uncivilized countries (Failed states)