Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Wakuu salaam,
Naomba kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa mtizamo wangu juu ya hili swala Morrison linaloendelea kuleta sintofahamu nchini. Nikiri kuwa sina taarifa zote za ndani badala yake nafanya inference kulingana na facts on air!
Nawasilisha!

- Yanga wana/walikuwa na mkataba au makubaliano flani na Morrison kuongeza mkataba wa miaka 2
- Morrison alibadili mawazo baadaye baada ya kurubuniwa na forces za ndani au nje, akaamua ku-exploit weakness za mkataba wake
- Simba Inawezekana hawajamsajili rasmi Morrison badala yake wanataka kunufaika ni vitu viwili. Kusabibisha mgogoro kwa watani wao ili kuendeleza utawala wao. Pili ku-influence matokeo ya case ili BM akishinda ama wamsajili au wamuache asepe wao wakinufaika na mgogoro wa Yanga na mashiko wake
- Inawezekana Yanga wameuelewa mchezo mzima ndio maana wakahamisha mgogoro kwa Simba, tayari viongozi wawili wameshatoka. Wakifeli issue ya Morrison na wakaanza vibaya ligi, Mo atalazimishwa kujitoa.
- Yanga hawana mahitaji ya uwanjani na Morrison ndio maana wanaendelea na mipango yao ya usajili ..
Nawasilisha!