Sakata la Morrison ni vita ya GSM Vs MELT

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Habari wana Jf,

Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo.

Vita hii ni ya kusimamisha brand mbili kubwa ambazo ni GSM na MELT.

Usichokuwa unakifahamu hapa hawa hawapiganiii uwezo wa mtu,bali uwezo wa brand na kutengeneza picha nzuri kwa wananchi.

Atakayeshindwa hapa basi na brand yake imeshindwa.
 
Kati ya jana na leo, ujue wamehusika mawaziri wengi tu kila upande.
Usishangae imehusu uchaguzi ujao wa TFF. Hata uchaguzi mkuu wa mwaka huu umeguswa ili kufikia maamuzi.
 
Uchaguz wa tff lini , nimechoka!!
 
Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo.
Mbona sakata la Morrison lilianza kabla CEO wa Simba hajaenda kuwa Katibu wa Yanga?
 
Back
Top Bottom