Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Haiwezi tokeaHivi ikitokea wananchi wakapokwa points, timu zilizoshuka daraja inakuaje?
Atashindwa? Wakati katika uongozi wake Timu imechukua kombe mara tatu mfululizo, na msimu huu pekee wamechukua vikombe vyote vya ndani.Mudi au Mvalishwa kanga siku zote ni wa kushindwa tangu African Lion, na Singida na sasa mikia atashindwa tena
Kati ya jana na leo, ujue wamehusika mawaziri wengi tu kila upande.Habari wana Jf,
Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo.
Vita hii ni ya kusimamisha brand mbili kubwa ambazo ni GSM na MELT.
Usichokuwa unakifahamu hapa hawa hawapiganiii uwezo wa mtu,bali uwezo wa brand na kutengeneza picha nzuri kwa wananchi.
Atakayeshindwa hapa basi na brand yake imeshindwa.
Uchaguz wa tff lini , nimechoka!!Kati ya jana na leo, ujue wamehusika mawaziri wengi tu kila upande.
Usishangae imehusu uchaguzi ujao wa TFF. Hata uchaguzi mkuu wa mwaka huu umeguswa ili kufikia maamuzi.
Mbona sakata la Morrison lilianza kabla CEO wa Simba hajaenda kuwa Katibu wa Yanga?Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo.
UnavyopendaHivi ikitokea wananchi wakapokwa points, timu zilizoshuka daraja inakuaje?