Sijui mimi na wewe nani anafeli mitihani...! wapi nimetoa maelezo?Ndo maana unafeli mitihani mimi nimetaka jibu la Ndio au Hapana sijataka maelezo
Kusema ndio au Hapana unashndwa?Sijui mimi na wewe nani anafeli mitihani...! wapi nimetoa maelezo?
Hapo nimetoa questions ili utafute majibu yake,kwa faida ya ubongo wako na wenzako huko vijiweni..maana baada ya kujipatia majibu ya hao maswali hapo juu,utakuwa mwalimu na balozi mzuri sana linapokuja suala la Hakimiliki na yanayohusiana na hakimiliki.
Kwani ungeandika kiswahili kama ulivyofanya pale juu Jamaa akuelewe vizuri ungepungukiwa nini?if the answer to the above question is in affirmative,then to what extent?
What is the position of the law to such an extent used/breached?
What is the remedy?
Mkuu una matatizo na english? au tatizo ni english yangu niliyoiandika?Kwani ungeandika kiswahili kama ulivyofanya pale juu Jamaa akuelewe vizuri ungepungukiwa nini?
Mnatetea wizi kwa kisingizio cha sheria mnataka kusema Fair use, fair use gani mtu anaingiza mamilioni?Mkuu una matatizo na english? au tatizo ni english yangu niliyoiandika?
Mlengwa nazani atakuwa amenielewa ndo mana suala la lugha kwake halijawa issue.