Mkuu, umesahau kuwa tumekwisha rudi nyumbani, na hatuko tena Kenya!?Huyo Muna Malaya Mbwa tu, hili liwe fundisho kwetu wanaume, unapoamua kuoa zingatia aina ya mwanamke unayetaka kujenga naye familia. Hawa malaya wa Bongo Mav* wanaweza kukatisha maisha yako.
Not to that extent. Usijitie 'umama' kiasi cha kulia machozi kwenye send off ya dadaako...utawaacha walimwengu midomo wazi kwa huo unaouita ukamilifu.Responding to emotions ni miongoni mwa hisia za kawaida kabisa kwa binadamu aliyekamilika, kukasirika, kufurahi, kuhuzunika, kucheka, kulia na kadhalika ni hisia za kawaida ambazo zipo naturally!
Tears, sorrow doesn't signify kwamba you are weak or a feminine being! It simply shows kwamba umekamilika kihisia. You can pretend to be strong inside wakati ukweli ni vice versa!
Vyeti vya ndoa ndiyo vithibitisho vya kisheria kuwa mtoto ni wa huyo Peter?Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho na damu vinachuruzika.
Muna anadai mtoto ni wa Casto Dickson, yule mtangazaji wa Siz Kitaa (Clouds), Casto anadai mtoto ni wake lakini upande wa pili, yupo baba halisi, Peter Zacharia ambaye anavyo vithibitisho vyote vya kisheria kwamba Patrick ni mwanaye.
Muna anataka yeye ndiye achague wapi anamzika mwanaye, Zacharia anadai yeye ndiyo baba halisi wa mtoto kwa hiyo ndiye atakayechagua wapi pa kumzika mwanaye na azikweje. Muna anasisitiza kwamba mtoto ni wake na msiba ni wake kwa hiyo yeye ndiye atakayemzika mwanaye.
Kuna misiba miwili kwa maiti ya mtoto Patrick, Muna ameweka msiba nyumbani kwake, Zacharia pia ameweka msiba nyumbani kwake. Waombolezaji wamechanganyikiwa, hawaelewi waende kwa Muna au kwa Zacharia.
Zacharia anasema mwanaye akizikwa bila ridhaa yake, yupo tayari hata kufuata sheria ili mwanaye akafukuliwe na azikwe anapopataka yeye, kwa sababu yeye ndiye baba halisi. Anavyo vithibitisho, kikiwemo cheti cha ndoa na Muna na anaeleza kwamba hajawahi kumuacha mkewe huyo, ile yeye ndiye aliyekimbia nyumbani kwao, mtoto akiwa na miaka mitatu.
Nini hatma ya malaika Patric ambaye maskini ya Mungu hana hatia katika hili? Maiti yake inagombewa na kuna hatari akizikwa kabla ya hizi tofauti hazijapatiwa ufumbuzi, mwili wake utafukuliwa na kuzikwa upya.
Yajayo yanahuzunisha sana!
Unabishana na mwanamke anayekumbia kuwa mtoto sio wako??Aisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]atulie ili Muna awe mshindi?? labda Peter sio mwanaume. mwanaume hashindwi.
Eti cheti cha ndoa na picha za harusi ndiyo evidence za huyo baba.Cheti cha ndoa ndo uthibitisho kuwa Ni mwanae?
Mkuu ainisha kifungu cha sheria husika.Hapana mkuu, lakini ni kisheria mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni wako, bila kujali kama wewe ndiye biological father au laa
Peter ni mlezi wa wana.kama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
sheria ni nini? abda tuanzie hapa kwanza, maana unaweza kuwa unarukaruka tu kama maharagwe yanayotaka kuiva bila kujua chochoteNimesema sheria nikimaanisha Statutory Acts; sio principles;
Hata sielewi unachokipigania ni nini Mkuu, ok lets conclude kwamba wote wanaotokwa machozi, wanaopatwa na huzuni na kuonesha hisia za namna hiyo ni wanawake, na wasioonesha hisia hizo, yaani yule ambaye hata akifiwa halii au akiumia haoneshi kama ameumia ndiyo mwanaume, hapo vipi. You can't supress inner feelings coz zipo hata kabla ya mind, dont yo ask yourself kwa nini watoto wachanga kabisa wanalia, wanacheka, wanashtuka au wanatabasamu?Not to that extent. Usijitie 'umama' kiasi cha kulia machozi kwenye send off ya dadaako...utawaacha walimwengu midomo wazi kwa huo unaouita ukamilifu.
Somewhere kwenye hii riwaya yako umeandika 'machozi, jasho na damu vinachuruzika'. Kama nikikuuliza nani kati ya wahusika wa jambo lenyewe hili anatoka jasho, achilia mbali damu, sijui kama utamtaja. Ni harakati za kutafuta umaarufu za hao wahusika, ambazo ni sehemu ya kawaida ya maisha yao...wewe unaumia kwa uhusika upi kama sio kujitoa machozi ya hisia kwa msaada ya vitunguu?
Mkuu 'Mlezi wa Wana' ina maana nyingine tofauti kabisa.Peter ni mlezi wa wana.
Casto ni baba wa mwana ila apeche alolo.
Mkuu kwa hiyo wewe mama chanja wako siku akikwambia watoto ulionao (kama unao) siyo wako, utaamini mara moja na utaacha kutekeleza majukumu yako kama baba kwa sababu tu mwanamke amekwambia?Unabishana na mwanamke anayekumbia kuwa mtoto sio wako??