Sakata la Mtumishi wa Serikali kutoka Equatorial Guinea

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Takriban video 400 za ngono zinazomhusisha Baltasar Ebang Engonga, mtumishi wa serikali ya Equatorial Guinea, zimevuja kwenye mitandao ya kijamii.

Video hizo zinamhusisha na wake wa viongozi wakubwa, mke wa kaka yake, binamu, mjomba wake, na wafanyakazi wenzake, na zilipatikana wakati wa uchunguzi wa tuhuma za udanganyifu na ubadhirifu dhidi yake.

Ili kudhibiti kuenea kwa video hizo, serikali ya Equatorial Guinea imechukua hatua ya kudhibiti matumizi ya intaneti na mitandao ya kijamii kama whatsapp na kusimamisha kazi watumishi wa serikali waliohusika. Pia, hatua za usalama zimeimarishwa kwa kufunga kamera za CCTV katika ofisi zote za serikali.

Mwendesha mashtaka mkuu wa Equatorial Guinea, Anatolio Nzang Nguema amesema kuwa Baltasar Ebang Engonga atafunguliwa mashtaka ya kuhatarisha "afya ya umma" ikiwa vipimo vya kitabibu vitathibitisha kuwa ameambukizwa magonjwa ya zinaa.
 
Mwendesha mashtaka mkuu wa Equatorial Guinea, Anatolio Nzang Nguema amesema kuwa Baltasar Ebang Engonga atafunguliwa mashtaka ya kuhatarisha "afya ya umma" ikiwa vipimo vya kitabibu vitathibitisha kuwa ameambukizwa magonjwa ya

Takriban video 400 za ngono zinazomhusisha Baltasar Ebang Engonga, mtumishi wa serikali ya Equatorial Guinea, zimevuja kwenye mitandao ya kijamii.

Video hizo zinamhusisha na wake wa viongozi wakubwa, mke wa kaka yake, binamu, mjomba wake, na wafanyakazi wenzake, na zilipatikana wakati wa uchunguzi wa tuhuma za udanganyifu na ubadhirifu dhidi yake.

Ili kudhibiti kuenea kwa video hizo, serikali ya Equatorial Guinea imechukua hatua ya kudhibiti matumizi ya intaneti na mitandao ya kijamii kama whatsapp na kusimamisha kazi watumishi wa serikali waliohusika. Pia, hatua za usalama zimeimarishwa kwa kufunga kamera za CCTV katika ofisi zote za serikali.

Mwendesha mashtaka mkuu wa Equatorial Guinea, Anatolio Nzang Nguema amesema kuwa Baltasar Ebang Engonga atafunguliwa mashtaka ya kuhatarisha "afya ya umma" ikiwa vipimo vya kitabibu vitathibitisha kuwa ameambukizwa magonjwa ya zinaa.
Hizo camera mfunge hadi choon lakin jamaa kashafanya yake
 
Back
Top Bottom