Emma Lukosi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 929 Reaction score 147 Aug 3, 2012 #1 ..Wachambuzi wa mambo naomba munisaidie swala hili; Hivi sakata la mv skagit wahusika si wameshafikishwa mahakamani?!. sasa mbona bado linaendelea kuzungumziwa bungeni na Kwingineko?!!
..Wachambuzi wa mambo naomba munisaidie swala hili; Hivi sakata la mv skagit wahusika si wameshafikishwa mahakamani?!. sasa mbona bado linaendelea kuzungumziwa bungeni na Kwingineko?!!