Sakata la Nabii Geor Davie, JamiiForums yatajwa

...Maandishi haya yapo pia Kwa Kiswahili!
Ungefanya jambo jema Sana ukaayandika Kwa Kiswahili ili Watu Wengi Zaidi wayasome!
 
Halafu huyo mashimo hakuna mwandishi aliyekwenda kumuhoji Bali kanunua maiki za masipika kayaweka hapo kajidai et. Anaongea na waandishi WA habari!!!!

Hivi Hao waandishi WA habari ninyi mmewaona Kwenye video?

Hivi Hao waandishi WA habari washindwe kumuhoji huyo mama badala yake yeye ndo amhoji?

Tena huyo mashimo kwanini anamtetea huyo mama anahusikaje NAYE?

Fix tupu.
 
Hujaona Clip ya mwanzo?🤣
Mashimo alikuwepo kusapoti tattoo na kuelezea hisia zake juu ya hiyo scenario ya mama kumchora tattoo huyo Davie.
 
Mke wa mtu unamchora nabii kwa mwili wako - shame !! yaani kama jamaa kakumwaga nampa big up - huna maana yoyote malaya tu usiye ridhika na mti wa nyumbani.. hovyoo.!! umeidhalilisha sana jinsia ya kike kuonekana hawana maana kumbe ni wewe na nyege mshindo zako za uzeeni.
 
mbona wanawake wengi watakuja wakiwa wamejichorea adi sehemu kunako kwenyewee

kuna wafuasi wa dhehebu fulani huvaa chpi na bra zenye majina na nembe ya mtume wanayemwamini
 
...Maandishi haya yapo pia Kwa Kiswahili!
Ungefanya jambo jema Sana ukaayandika Kwa Kiswahili ili Watu Wengi Zaidi wayasome!

Kweli.. mwenye Biblia au kuingia mtandaoni ataweza kuyasoma.. Amina
 
biashara tu
 
Huyo jamaa mbona anapiga kelele.... hivi hata kama ni mahubiri hawawezi kusemeshana kwa adabu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…