jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Nov 29, 2022 #41 64gb said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tasnia imekuwa ya hovyo sana. Kuna siku mtu ataitisha press chooni na wataenda. Na hili ni tatizo ya kuwa na hivi vi online TV vingi Click to expand... Hahaha!
64gb said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tasnia imekuwa ya hovyo sana. Kuna siku mtu ataitisha press chooni na wataenda. Na hili ni tatizo ya kuwa na hivi vi online TV vingi Click to expand... Hahaha!
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Nov 29, 2022 #42 Mad Max said: Yaani uyo mtu kawaita Waandishi wa Habari nao wameenda.? Click to expand... Waandishi wa habari (baadhi )ukiwaita kuwa unaenda kunya wanakuja
Mad Max said: Yaani uyo mtu kawaita Waandishi wa Habari nao wameenda.? Click to expand... Waandishi wa habari (baadhi )ukiwaita kuwa unaenda kunya wanakuja
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 29, 2022 #43 Eti zama hizi kuna Manabii dah ! inasikitisha mno..
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Nov 29, 2022 #44 Lovebird said: mbona wanawake wengi watakuja wakiwa wamejichorea adi sehemu kunako kwenyewee kuna wafuasi wa dhehebu fulani huvaa chpi na bra zenye majina na nembe ya mtume wanayemwamini Click to expand... Kinembe tena mkuu lovebird?
Lovebird said: mbona wanawake wengi watakuja wakiwa wamejichorea adi sehemu kunako kwenyewee kuna wafuasi wa dhehebu fulani huvaa chpi na bra zenye majina na nembe ya mtume wanayemwamini Click to expand... Kinembe tena mkuu lovebird?
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Nov 29, 2022 #45 Kama kuna mtu anaweza kumsikiliza mashimo akili yake ina walakini