Mrithi wa Nchimbi mwenyekiti UVCCM (umoja wa vijana Taifa) Taifa, RIdhwan kikwete katangaza leo kupitia gazeti la Tanzania daima kuwa ana mtu wake anayemtaka...
Ndio Chukua Chako Mapema hiyo mkuu wewe mkulima katafute shamba bado mapori yamejaa hayana watu..
sisi watoto wa wakulima hatuna chetu?
Mrithi wa Nchimbi mwenyekiti UVCCM (umoja wa vijana Taifa) Taifa, RIdhwan kikwete katangaza leo kupitia gazeti la Tanzania daima kuwa ana mtu wake anayemtaka awe mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa, Zainabu Kawawa (mtoto wa kawawa Rashid) anagombea uenyekiti taifa, Violet Mzindakaya (mtoto wa Mzindakaya Mbunge wa Sumbawanga, na mtuhumiwa wa ufisadi wa sh bilioni 10 kutoka B.O.T) anagombea ijapokuwa kuna minongono kuwa mwishoni atamuunga mkono kipenzi cha Ridhwan ,Mwamvita Makamba(mtoto wa makamba katibu mkuu wa CCM) nae ana mtu wake.
Wana JF nauliza sisi wototo wa wakulima nafasi yetu ipo wapi? katika jumuia kama watoto wa Nyerere, Makongoro, Madaraka, Ana na watoto wa mzee Ruksa Mwinyi Husein, na Abas wangetaka kuwaweka marafiki zao waliosoma nao (kwa maana na wao wanesoma)jumuia ya vijana(UVCCM) igekuwa wap?
wanakaribishwa wapi? CHADEMA?Mkuu sam,
Binafsi siamini watu wanaohama chama kwa sababu ya kutafuta ULAJI.. ndio maana nikatanguliza CCM -Chukua Chako Mapema.
Nje ya hapo wanakaribishwa lakini wasiwe na mategemeo kwani opeo wao upo ktk chaguzi za viongozi.
Inabidi uonyeshe upinzani kwa vitendo.. ukienda bongo washkaji wako wote ni CCM damu. Wakianza kukupa good time na hela za CCM inabidi useme "NO". Lini bongo mzee, mwaka huu huendi?Aaaaah mkuu yamekuwa hayo tena?.. haya Upinzani!
Lakini jamani navyosikia huyo Ridhwan ni mwana JF imekuwaje leo kaingia CCM kwa kasi kiasi kwamba itamletea matatizo mengi hali anamwacha baba yake akizidi kuharibu... JF ipo kumpa picha na kukosoa pale baba yake anapoenda mrama sasa vipi au naye ndio hivyo tena kaamua kuvua kanzu!
Kuna umakini na kujenga hoja ndani ya CCM? Tangu lini? size]