Duh, washikaji wangu wengi CUF si unajua tena Uislaam! wengine ndio hao wabangaizaji hawana dini.. kwi kwi kwii!..
Bongo mkuu najiandaa nipo safarini utanisikia tu... kazi inaanza Columbus kwenye ngoma za kizeee! - tukalishwe sumu.
Mkuu Mkandara utaleta balaa humu ndani kama CUF ni chama cha uislamu hebu tuambie na CHADEMA ni chama cha nini?
Mrithi wa Nchimbi mwenyekiti UVCCM (umoja wa vijana Taifa) Taifa, RIdhwan kikwete katangaza leo kupitia gazeti la Tanzania daima kuwa ana mtu wake anayemtaka awe mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa, Zainabu Kawawa (mtoto wa kawawa Rashid) anagombea uenyekiti taifa, Violet Mzindakaya (mtoto wa Mzindakaya Mbunge wa Sumbawanga, na mtuhumiwa wa ufisadi wa sh bilioni 10 kutoka B.O.T) anagombea ijapokuwa kuna minongono kuwa mwishoni atamuunga mkono kipenzi cha Ridhwan ,Mwamvita Makamba(mtoto wa makamba katibu mkuu wa CCM) nae ana mtu wake.
Wana JF nauliza sisi wototo wa wakulima nafasi yetu ipo wapi? katika jumuia kama watoto wa Nyerere, Makongoro, Madaraka, Ana na watoto wa mzee Ruksa Mwinyi Husein, na Abas wangetaka kuwaweka marafiki zao waliosoma nao (kwa maana na wao wanesoma)jumuia ya vijana(UVCCM) igekuwa wap?

Hii sasa imepitiliza...kila mtoto wa kigogo anafikiria kuwa lazima na yeye aje awe....kiongozi...hiyo ni fikra potofu..."hata kama hawana uwezo wanalazimisha tuu".........kuna uhalali na ulazima kwa hilo??au imeshakuwa chama cha kifalme..........
Mambo haya yapo DUNIA nzima. George Bush na Baba yake; Karume na Karume tena; Ian Khama na Sir Seretse Khama( Botswana); Ugiriki nasikia zipo familia mbili tu; India ndio usiseme; Mbowe na Mtei; Infact CCM yalichelewa kidogo kwa sababu ya Mwalimu!
Mrithi wa Nchimbi mwenyekiti UVCCM (umoja wa vijana Taifa) Taifa, RIdhwan kikwete katangaza leo kupitia gazeti la Tanzania daima kuwa ana mtu wake anayemtaka awe mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa, Zainabu Kawawa (mtoto wa kawawa Rashid) anagombea uenyekiti taifa, Violet Mzindakaya (mtoto wa Mzindakaya Mbunge wa Sumbawanga, na mtuhumiwa wa ufisadi wa sh bilioni 10 kutoka B.O.T) anagombea ijapokuwa kuna minongono kuwa mwishoni atamuunga mkono kipenzi cha Ridhwan ,Mwamvita Makamba(mtoto wa makamba katibu mkuu wa CCM) nae ana mtu wake.
Wana JF nauliza sisi wototo wa wakulima nafasi yetu ipo wapi? katika jumuia kama watoto wa Nyerere, Makongoro, Madaraka, Ana na watoto wa mzee Ruksa Mwinyi Husein, na Abas wangetaka kuwaweka marafiki zao waliosoma nao (kwa maana na wao wanesoma)jumuia ya vijana(UVCCM) igekuwa wap?
Ndio Chukua Chako Mapema hiyo mkuu wewe mkulima katafute shamba bado mapori yamejaa hayana watu..
ni kweli hatuna nafasi hiyo kabisa,swali la maana ni hili,hivi huwezi kuwa kiongozi mzuri ktk jamii yako mpaka upitie ccm,sema wanataka kupitia ccm kwa sababu ya ulaji tu.Kama ni siasa mbona vyama viko lundo, kama sijakosea viko zaidi ya kumi na saba hivi.
Ukishindwa siasa nenda shambani kalime,jamaa wanagawana bonde la mto Rufiji huko chini.CCM haina nafasi kwa watu wa chini aka wanyonge.
Kinachoniuma zaidi sisi wanyonge ndio tunaowapigia kura za ndio hawa jamaa!!