IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Nchi hii imelaaniwa na sababu kubwa ni kupatikana kwa uhuru wa nchi hii kw anjia za kishirikina,cha kufanya kama wewe ni Mtanzania na una nafasi ya kula pesa wewe lamba na nenda zako.
Usitegemee maendeleo katika nchi hii.Wewe angalia Ridhwani sasa anamtaka beno ili amsaidie kwa baadaye wakati benoo akishashika hatamu.
Utawal wa nchi hii ni wa ku peana tu.wakati mwingine huwa nakuwa na mawazo kama ya waasi ,nimechoka na upuuzi kila siku
kidogo ninachojua ni kwamba huyu mtoto ni mwongo, mwongoooo, yani hajatulia mapepe mapepe hivi, mpepesa macho, kati ya kumi anayoongei ukweli unaweza kuwa ni nusu tu, yani hata moja haijatimia...... like father like son........ridhiwani kikwete anajiandaa kumrithi EMMANUEL NCHIMBI..kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana....
..lets give him a fair hearing as himself and not as presidents son...since to elect or being elected is his natural right!!!..
..nawaalika members wenye nyeti zaidi juu ya hili...tukae kama kamati ..tumuangalie yeye as yeye...then other connections later..
lete ishus....
Ridhiwani ana ofc wapi? au ndio ile firm ya Lawkama unabisha hebu omba appointment nae pale ofcn kwake, ya saa mbili asbh, ye anakuja saa nneeee... kama babake tuu
....ridhiwani kikwete anajiandaa kumrithi EMMANUEL NCHIMBI..kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana....