Kwani lipi la ajabu? Benki kuu si hao hao. Na kama watatapakaa hata CCM kuna ubaya gani? Kaondoka sultani Zanzibar mwenye ndevu mvaa kilemba akaja sultani mwenye masharubu mvaa barghashia.Nani kasema? Na bado wanaandaliwa masultani wa miaka kumi kumi wengine. IKO MANENO?
kidogo ninachojua ni kwamba huyu mtoto ni mwongo, mwongoooo, yani hajatulia mapepe mapepe hivi, mpepesa macho, kati ya kumi anayoongei ukweli unaweza kuwa ni nusu tu, yani hata moja haijatimia...... like father like son....
mwenyekiti Wa Taifa-ccm -----raisi Jakaya Mrisho Kikwete
Mwenyekiti Wa Ccm Vijana----ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Diwani Wa Bagamoyo-----mrs Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ccm-----mrs Jakaya Mrisho Kikwete
Jamani Hakuna Bunge La Watoto Tumpe Kale Katoto Machachari Kilichomibia Babake Usd 10,000 Akakimbilia London..huyu Ndie Alitakiwa Atuongoze Uraisi Badala Ya Babake..baada Ya Kuiba Mashallah Jamani Na Wengine Tulizila Zile Hela Hakuwa Mchoyo Mtoto Hana Hiana Ukimwambia Kuna Kimeo Kiko Bomba Kinataka $ Kadhaa Hana Iana Dk 1 Ashafika Unachukua Chako Unmwachia..marafiki Wajanja Usiseme ..tunataka Viongozi Kama Hawa Whata Kama Wanaiba Wanakula Na Masikini Na Pengine Kakimata Hata Uwaziri Kanaweza Fadhili Jf Kufungua Television Ya Jamiiforums Tanzanania (tjt)
ningekuwa Mimi Ni Jakaya Kikwete, Ningemwambia Mwanangu Ridhiwani "focus On Your Professional For 10 Years, Then Think About Other Things That You Could Do"!
Kinachotokea Tanzania Ni "new Wave" Ya Opportunity Na Kwa Kuwa Watanzania Ni Wavivu Wa Kufanya Kazi, Ubunifu Na Ufanisi, Tunakimbilia Political Posts Ili Tujichumie Haraka Haraka!
.....tatizo Ni Kuwa Hata Hiyo...degree Yake Wasiwasi....na Masters Amefeli ...na Mtihani Wa Mahakama Kuu Kusajiliwa Kuwa Wakili Amefanya ..lakini Jina Lake Kwenye Mawakili Wapya Sijaliona.....sasa Where Is The Proffession There....i Think Kumuita Riz Mwanasheria Ni Kama Kumuita Kikwete Mchumi ....wakati Hajawahi Kuifanya Kazi Ya Mchumi...
Hivi kinachokupelekea kuanzisha majungu hayo ni chuki yako binafsi na kizazi cha watawala wa nchi hii, uswahili wa kikwete ama unadhani hili litamsaidia mwizi mwenzio Jery Slaa kushinda uchaguzi? Vipi kaka na wewe mmoja wa wafadhili wake ama member wa genge la Mramba na wenzie katika mkakati wa kujijengea ngome ya kulinda machafu yao kwa kutumia ukabila?
Halafu mkiambiwa mna ukabila na chuki kwa wengine mnasema eti huyu siasa kali....
Acheni ujinga huo Tanzania ya wote na kina kikwete ni miongoni mwa wote.
Ridhwani ni mwanasheria na angelijiita wakili ndio angekuwa amekosea....ama kiswahili ni lugha ya tatu kwako?
Tanzanianjema
Its A Good Move, But Fisadi Sports Club May Stop Him....