...Like HELLSasa hivi tutasiki na mtoto wa Kikwete, Mkapa, Sumaye, Lowassa etc nao wakichukua fomu. Like Father, like son...
I second FMES,Hakuna tatizo lolote kuzaliwa mtoto wa kiongozi, wala sio kuvunja sheria Tanzania ya sasa ni ubavu wa mwananchi tu, Zitto sio mtoto wa kiongozi, wala Dr. Slaa, tutafute mbinu na sisi tujitose,
Maana hivi vilio bila sababu za msingi, tutaishia kuwa sour grapes, Lowassa na Rostam sio watoto wa viongozi, mafisadi wanajulikana na sijui kama kuna mtoto hata mmoja wa official fisadi, ambaye ni kiongozi,
suala la ufisadi ni lazima tuliseme kwa mantiki yake, ama sivyo tunakuwa kama wananchi wa vijiweni, hasa baada ya kufahamika wazi kuwa kuna mpaka viongozi wa upinzani ambao wanapewa hela na mafisadi, na kwamba sio viongozi wote,
Tukachukue fomu za kugombea badala ya kukata tamaa, kila m-Tanzania anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote mradi tu anatimiza masharti ya anachogombea, ni suala la kufikiri kidogo tu kabla ya kurusha unfounded accusations, JF we are not anti-watoto wa viongozi kwa sababu tu ni watoto wa viongozi, maana mawazo ya namna hiyo ni mufilisi kama sio ulofa!
Mkuu FMES,Katika siasa za taifa lolote lile kuna mbinu za kuffuata ili uingie kwenye siasa, sasa ni lazima u-research halafu ujue kinachotakiwa, ndio ufuate mpangilio, hata majuu huwezi kukurupuka tu ama isvyo utaishia kupata kura yako mwenyewe kama Sumaye alipogombea umakamu wa CCM, akiwa Waziri Mkuu aliishia kupata kura yake mwenyewe,
Sasa kama Waziri mkuu imekuwa hivyo wewe itakuwaje, lazima kufuata mbinu zake mkuu!
Katika siasa za taifa lolote lile kuna mbinu za kuffuata ili uingie kwenye siasa, sasa ni lazima u-research halafu ujue kinachotakiwa, ndio ufuate mpangilio, hata majuu huwezi kukurupuka tu ama isvyo utaishia kupata kura yako mwenyewe kama Sumaye alipogombea umakamu wa CCM, akiwa Waziri Mkuu aliishia kupata kura yake mwenyewe,
Sasa kama Waziri mkuu imekuwa hivyo wewe itakuwaje, lazima kufuata mbinu zake mkuu!
Jana hiyo hiyo pia majina ya wajumbe wapya wa Halmashauri Kuu ya Taifa yalitangazwa na miongoni mwao wapo ambao hawakuwa wana mtandao lakini ni vigogo wenye majina mazito kama vile Bw. Frederick Sumaye, Bw. Jackson Msome, Bi Kate Kamba, Profesa Samuel Wangwe, Anne Kilango Malecela, Zainabu Gama Profesa Juma Kapuya, kitendo kinachodhihirisha kuwa makundi sasa yamekwisha.
Wengine ni Kingunge Ngomable Mwiru, Anna makinda, Zakhia Meghji, John Chiligati na Yusufu Makamba. Mara baada ya majina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu kutangazwa, kulilipuka shangwe na kusakata muziki uliokuwa upigipwa na Bendi ya TOT Plus chini ya Kapteni John Komba ambaye pia alichaguliwa kuwa mjumbe wa NEC pamoja na Khadija Kopa.
Mwenyekiti wa jopo la uchaguzi, Spika Samuel Sitta aliyetangaza matokeo alisema uchaguzi ulikuwa huru na haki na kwamba walioshinda wameshinda kihalali.
Nafasi ya ukatibu mkuu iliyokuwa ikishikiliwa na Bw. Yusuf Makamba na wajumbe wa Sekretarieti zitajazwa leo.
Wote humo ndani ya NEC ni watoto wa vigogo...Sasa nyie mnataka wamchaguwe nani nje ya NEC?
INVISCIBLE// MWENYEKITI
NAIBU MWANAKIJIJI!
NASIKIA WAMEANZA KUFUNGUA MATAWI YA CCM MAREKANI MSHINDWE NYIE
Wengine ni Kingunge Ngomable Mwiru, Anna makinda, Zakhia Meghji, John Chiligati na Yusufu Makamba. Mara baada ya majina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu kutangazwa, kulilipuka shangwe na kusakata muziki uliokuwa upigipwa na Bendi ya TOT Plus chini ya Kapteni John Komba ambaye pia alichaguliwa kuwa mjumbe wa NEC pamoja na Khadija Kopa.