Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 82
Wewe hauko sawa huwezi kutumia ligha ya picha au lugha ya kifasihi ktk gazeti,ammaanisha usiku wa muda.....mkataba haujasainiwa bali ni MoU.hivi ni vitu viwili tofauti.Tazama inawezekana kabisa hapo imetumika lugha na usiku iliwakilisha hali ,kama unavyojua Usiku ni unawakilishwa na kiza totoro sasa kama mkataba haukujulikana wapi ulisainiwa ,majukumu hayakufuatwa watu wamesitukia tu asubuhi jamaa wanachimba hazina,huoni kama mipango ilikuwa haikuonekana kila watu wakitafuta wanaona kiza tu.
Mwanahalisi limekubwa na misukosuko mingi sana ,sasa sijui kama litaendelea ama laa kwani limekuwa na kesi nyingi.
3. Saed Kubenea – Stan Katabalo impostor, only without the education, the sophistication, the principles and steely determination for which Katabalo is remembered for. A little Kingmaker in the making, if only he would be aware that he needs to stop being a pawn in the great political game. He gets direct congratulatory calls from Sumaye, Magufuli, Butiku, Warioba and others whenever his paper comes out. He is welcome at Salim A. Salim house. This is such an awesome achievement for a person who is half-schooled and who has never read any major literary work of non-fiction (and who might not get this joke). That our politicians would embrace Kubenea, who still milks the "acid incident", speaks of the level of their desperation to smear each other (in the name of "saving the country").
Wanabodi,
Kwanza kabisa nitasema hakuna sheria yoyote inayozuia vyombo vya habari kutoa Account za watu iwe amount ama namba zake dunia nzima ikiwa kuna ukweli wa kuwepo hizo account.
Kama kuna uvujaji wa habari hizi toka Benki inayohusika basi ndiko kunakotakiwa kuelekezwa mashtaka ama upelelezi..
Hadi sasa hivi nachoona ni Ubabe wa viongozi wetu lakini kisheria sioni kabisa sababu ya kulishtaki gazeti ati kwa kutoa account za watu as if hayo magazeti ndio wanaomiliki hizo account..
Mkataba wa siri za account upo kati ya mwenye account na benki, Mwanahalisi anaweza kuwa shahidi kuonyesha kwamba siri hiyo imevunjwa..
Umeshauri vyema na nimekupata safi mkuu, nadhani kwa akili zangu uko sawa kabisa. Majibu kama yalikuwa hayo inatakiwa marekebisho ya haraka maana hao mafisadi wako macho sana upande huo. Hata hivyo yawezekana Kubenea alikuwa akiendeshwa na hasira za nchi kuliwa na yeye kuulizwa kwanini atoe taarifa kwamba nchi inaliwa. Alikuwa anataka kuwalenga wahusika "on the spot", lakini kisheria pale aliteleza kidogo. Nadhani anahitaji kupunguza munkari ili apate stamina ya kuongea maana nadhani haya hata yeye akitafakari anaweza kuwajibu vyema zaidi. Kuhusu search warranty yaonekana ni mtego na wao kwa vile walivamiwa wakashikwa na hasira wakashindwa kutulia na kufikiria, hutokea hivyo. NADHANI KUBENEA ANAHITAJI KUPUNGUZA KASI YA KU-REACT ANAPOPATA JAMBO KAMA HILI maana wanamtafuta akosee ili wampate...!Moja ya kitu cha msingi MwanaHALISI wanahitaji ni uwakilishi mzuri zaidi wa kisheria. Mwanasheria wake anafanya miscues fulani ambazo zinaweza kuboreshwa zaidi.
Kwa mfano, Kubenea alipohojiwa kuhusu uhalali wa utoaji taarifa za akaunti za watu, aliiambia KLH News kwamba wao hawatoi akaunti za "walima Kahawa wa vijijini," na wa wananchi wa "huko Buhemba" na kwingineko. Ila ni viongozi fulani fulani wa nchi. Sasa, huhitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba, kama ni makosa kuvujisha akaunti za benki - assuming ndilo kosa - basi ni wazi kwamba kila mteja mwenye hizi akaunti analindwa na sheria ya nchi, na sio mlima Kahawa tu. Wakili wake hatakiwi kumruhusu atoe justification kama hivi za kujifunga kitanzi.
Mfano mwingine, wakili aliyeitwa kuja eneo la tukio, hakutakiwa kuruhusu isainiwe search warrant inayomtafuta "Msaki and others." Msaki hakuna anae mjua hapo MwanaHALISI. Na hao "others" wanaweza kuwa wako kwenye sayari ya Zebaki (kama ambavyo Kishoka huwa anasema.)
Hizi nadhani ni faux pas zinazoweza kuboreshwa zaidi. Humo ndani pia wawe na watu wanapitia vitu wanavyoandika. Vinginevyo wanaweza kuishia kulipa mapesa kama yale ya Sumaye. Tukikosoa press ya Bongo ni katika kujaribu kuijenga vile vile.
Mushi njoo kule kwa Mziray.Nchi kweli imeliwa
Moja ya kitu cha msingi MwanaHALISI wanahitaji ni uwakilishi mzuri zaidi wa kisheria. Mwanasheria wake anafanya miscues fulani ambazo zinaweza kuboreshwa zaidi.
Kwa mfano, Kubenea alipohojiwa kuhusu uhalali wa utoaji taarifa za akaunti za watu, aliiambia KLH News kwamba wao hawatoi akaunti za "walima Kahawa wa vijijini," na wa wananchi wa "huko Buhemba" na kwingineko. Ila ni viongozi fulani fulani wa nchi. Sasa, huhitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba, kama ni makosa kuvujisha akaunti za benki - assuming ndilo kosa - basi ni wazi kwamba kila mteja mwenye hizi akaunti analindwa na sheria ya nchi, na sio mlima Kahawa tu. Wakili wake hatakiwi kumruhusu atoe justification kama hivi za kujifunga kitanzi.
Mfano mwingine, wakili aliyeitwa kuja eneo la tukio, hakutakiwa kuruhusu isainiwe search warrant inayomtafuta "Msaki and others." Msaki hakuna anae mjua hapo MwanaHALISI. Na hao "others" wanaweza kuwa wako kwenye sayari ya Zebaki (kama ambavyo Kishoka huwa anasema.)
Hizi nadhani ni faux pas zinazoweza kuboreshwa zaidi. Humo ndani pia wawe na watu wanapitia vitu wanavyoandika. Vinginevyo wanaweza kuishia kulipa mapesa kama yale ya Sumaye. Tukikosoa press ya Bongo ni katika kujaribu kuijenga vile vile.
Mushi njoo kule kwa Mziray.
Hayo mambo ya chadema mimi simo tena.
Nimeshatowa ushauri wangu kama vile nilivyofanya kabla hawajakupa umakamu wenyekiti.
Na hivyo basi mimi nawaambia kuwa chadema kinaelekea kusambaratika kama hatua madhubhuti hazitachukuliwa.
Hivi bado Lowasa ambaye alitakiwa kuwa jela bado ana nguvu? Mimi nilifikiria nguvu yake iko CCM hata huku nje? Lowassa asiwatishe kama ni makosa atakuwa nayo tu.