William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Quote: Mambo Jambo
FMES!
Umeshikwa pabaya, tafadhari tafuta pakutokea.
Nafikiri Tanzania tunakoelekea ni kubaya mno na huenda hatujui kabisa nini kitakuwa mwokozi wetu. Mimi naamini njia pekee ya kutuokoa ni pale sheria zetu zitakapokuwa msumeno na kukata bila kuangalia mhusika ni nani.
Hata siku moja tusitegemee kutatua matatizo yetu kwa kuvunja sheria.
Mimi napenda kijana Nape apate madaraka umoja wa vijana lakini kama tu suala lake la umri halitavunja hiyo katiba yao. Inashangaza watetea demokrasia hapa wanakuwa wa kwanza kutaka sheria zivunjwe pale wanaohusika wanapokuwa ni watu wenye mvuto upande wao.
lOWASA ANA NGUVU SANA KWENYE nec VIPI KWENYE CC?MAANA NA YEYE ATAKUWEPO JE JK ANAWEZA KUMNYOSHEA KIDOLE EL LIVE?MAANA PALE USO KWA USO....SIO KAMA NEC.
Mkuu Mtanzania,
Heshima mbele, this topic is about kushangiliwa kwa Nape bungeni, it has nothing to do na unayoyasema, binafsi sijawahi hata kuigusa hiyo ishu ya sheria za UV-CCM, kama zipo basi zipo na ni lazima ziheshimiwe, lakini kama hazipo zinalazimishwa then ni suala la CCM na wanachama wake,
Lakini hii topic ni kuhusu Nape na kushangiliwa bungeni, na pia tumeongeza record ya mkuu wa sasa wa UV-CCM, asiyemtaka Nape, lakini mengine yote uliyosema hapa sio mahali pake, au?
Hii thread ilikuwa na subject tofauti, imehamishwa na kuunganishwa na hii ambayo nyie mlikuwa mnajadili. Kwahiyo kuniambia nilichoandika hakina uhusiano na hii topic ni kunionea bure kwi kwi kwi!!
Tafuta thread iliyofutwa ambayo mimi ndiyo nilichangia, utagundua ilikuwa na uhusiano na nilichoandika. Kichwa chake kilikuwa "Re: Kamati kuu ya CCM itamkubatia mpambanaji dhidi ya ufisadi... "
Ahsante mkuu kwa kuliweka wazi hilo, kuwa sisi wengine we have nothing to do na kubadilishwa kwa sheria ya anything,
maana sisi tunaamini kuwa sheria ni sheria haiwezi kubadilishwa kwa manufava ya wachache na haiwezi pia kutumiwa kwa manufa aya wachache, huku wengine wakiruhusiwa kuivunja na jamii hiyo hiyo, au chama hicho hicho.
Natania tu, sitaki kuifanya JF ukumbi wa kuombana misamaha unless mtu ametukana au kuandika uwongo huku anajua ni uwongo.
Wakuu,
EL kwa nnavyofahamu si mjumbe wa CC ya CCM. Yeye ni MNEC, alikua anaingia CC kwa kofia ya waziri mkuu anayetokana na CCM. Kwenye kuchagua wajumbe wa CC katika uchaguzi 2007, EL hakupigiwa kura kwa vile alikua ni waziri mkuu.
Kuhusu suala la umri kwenye uchaguzi wa UVCCM, utakuta kanuni zenyewe za UVCCM zinajichanganya. Na, hii ni kwa sababu kipengele cha umri kiliingizwa kimizengwe.
[*]Kanuni zinaainisha umri ambao mwanachama wa UVCCM atakua ni kijana wa miaka 15 mpaka 35.
[*]Kanuni hizohizo zinasema wakati wa uchaguzi, kila mwanachama atakua na haki ya kuchagua au kugombea nafasi ya uongozi wa UVCCM kama atakua na sifa.
[*]Halafu kanuni hizohizo tena zinakuja kusema, ili kugombea nafasi ya uongozi mwanachama unatakiwa usiwe umezidi umri wa miaka 30. Tayari haki mojawapo iliyoyajwa na kanuni za hapo juu imekiukwa.
Sasa hapa unaona kuna kundi kubwa sana(30-35yrs) ambao lina sifa za kupiga kura lakini haliwezi kugombea uongozi.
Kwa akili ya kawaida tu utaona hizi kanuni zina walakini. Hii ndio mifano ya kanuni zinazochomekwa kwa maslahi ya mtu mmojammoja badala ya kutizama maslahi ya chama kwa ujumla.
Kiko wapi chama cha Mwalimu???....
Wakuu,
1. Kuhusu suala la umri kwenye uchaguzi wa UVCCM, utakuta kanuni zenyewe za UVCCM zinajichanganya. Na, hii ni kwa sababu kipengele cha umri kiliingizwa kimizengwe.
2. [*]Kanuni zinaainisha umri ambao mwanachama wa UVCCM atakua ni kijana wa miaka 15 mpaka 35.
3. [*]Kanuni hizohizo zinasema wakati wa uchaguzi, kila mwanachama atakua na haki ya kuchagua au kugombea nafasi ya uongozi wa UVCCM kama atakua na sifa.
4. [*]Halafu kanuni hizohizo tena zinakuja kusema, ili kugombea nafasi ya uongozi mwanachama unatakiwa usiwe umezidi umri wa miaka 30. Tayari haki mojawapo iliyoyajwa na kanuni za hapo juu imekiukwa.
5. Sasa hapa unaona kuna kundi kubwa sana(30-35yrs) ambao lina sifa za kupiga kura lakini haliwezi kugombea uongozi.
6. Kwa akili ya kawaida tu utaona hizi kanuni zina walakini. Hii ndio mifano ya kanuni zinazochomekwa kwa maslahi ya mtu mmojammoja badala ya kutizama maslahi ya chama kwa ujumla.
Kiko wapi chama cha Mwalimu???....
Mkuu FMES,
Hii thread ilikuwa na subject tofauti, imehamishwa na kuunganishwa na hii ambayo nyie mlikuwa mnajadili. Kwahiyo kuniambia nilichoandika hakina uhusiano na hii topic ni kunionea bure kwi kwi kwi!!
Tafuta thread iliyofutwa ambayo mimi ndiyo nilichangia, utagundua ilikuwa na uhusiano na nilichoandika. Kichwa chake kilikuwa "Re: Kamati kuu ya CCM itamkubatia mpambanaji dhidi ya ufisadi... "
hii ni siasa bwana lazima uwe na hoja nzito hoja ya obama ni vita vya iraq na uchumi kuweweseka wa marekani kaona sasa ndiyo, ndiyo swala la siku hilo, ia nape kaliona hilo .......nampenda kijana japo baba yake sikumkubalikayaona hayo wakati anataka u-enyekiti wa uvccm cio? Watu wengine bwana...
wakuu wote salute kwa kuendelea kuchangia huu mjadala,
sasa wakuu kama hapo ndani ya uvccm kwenyewe umafia unafanyika wazi wazi,je wakuu kwa mtanzania wa kawaida hali itakuaje?
Mbaya zaidi huyo mhunzi wa vyeti ndiye engineer wa hiyo dirty game kwa gharama za damu ya watanzania wenzetu,walipa kodi na wakati mwingine burden inamungukia mtanzania wa kule kijijini atembeaye kilomita nyingi kutafuta maji ambayo yanasapoti uhai wake kwa 75%.
Inawezekana kabisa Nape asingegusa interest za watu fulani pengine hata hayo mapungufu ya kisheria yasingeibuka