Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 82
Ushirikina nai imani ambayo imeshamiri sana kwenye nchi masikini.msirikina ni yule anaetenda na anaeamini kama wewe.Nasikia Nchimbi ni Mshirikina? nasikia ndio aliowauwa Ipyana Malecela etal? Bwana Nchimbi mi simo nauliza tu........
Tom wa watu unamsingizia tu bure...amefika ukumbini toka dar saa kumi na moja jioni hizo hela aligawa muda gani.anafika na ajenda ya Nape inaanza,,kaka acha kudandia maneno ya mitaani.Aliyekuwepo kwenye kikao sio Nchimbi peke yake, walikuwepo wengi sana, Nape alizisema habari za jengo kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha baraza hilo hilo, sasa leo atasemaje kuwa ni waandishi?
Wajumbe hawakusema kwa kauli moja, ilikuwa ni kauli ya Makamba na hela zilizogawiwa na Tom, ndio zilizoimba huo wimbo, wajumbe hawawezi kusema Nape ni lipyoto halafu adhabu yake ipungue, hai-make a sense kwa mtu mwenye akili timamu!
Nchimbi ametumia faulo na hii faulo ilitegemewa, sasa kazi itakuwepo CC ambako Kingunge haingii na Nchimbi ni mtu wa kawaida kama wajumbe wengine, na ambako Makamba ni kichekesho.
mkataba haujapelekwa cc kwa kuwa ni ufisadi bali ni utaratibu wa mchakato wa chama kwenye miradi mikubwa.....kesho kamati kuu inakaa.
hakuna atakayejadili kufukuzwa kwa Nape kwenye kamati kuu.Napenda kukwambia wala huna haja ya kupiga kelele hapa.Kesho kabla ya saa kumi jioni CC itakuwa imepitisha mkataba kwa kauli moja....Nape atabaki anangojea hukumu yake.Na nilikwambia Mr Sadist.
Tom wa watu unamsingizia tu bure...amefika ukumbini toka dar saa kumi na moja jioni hizo hela aligawa muda gani.anafika na ajenda ya Nape inaanza,,kaka acha kudandia maneno ya mitaani.
Mimi ni nakuwa mpole kwa kuwa najua wewe kuwa huwa hukubaliani n a ukweli na ni mbishi....ulisema kama kweli Nchimbi alisimamia ujenzi wa shule utampa nishani,ukasema unamtafuta Kajege.umekimbia kimyakimya....sasa leo umesema kama kesho mkataba utapitishwa basi utaamini kuwa Nchimbi ni most powerful man kuliko JSM....Naomba kesho uonyeshe uungwana kwa kuja na kukiri wazi kuwa humwezi wewe,wala mama yako Kilango na wala Mh Seguyemisi...plz uje na kukubali please.1.
Sio kweli, mkataba umevuka ngazi zote muhimu umekwenda moja kwa moja kwa Rais, hilo usijaribu kuli-spin, hapa unachojaribu ku-spin ni kuwa eti huu mkataba kwenda huko CC ni kitu cha kawaida, hilo sio kweli mkataba umekwenda huko baada ya Nape kuupigia kelele, na wala haukwenda huko wenyewe ila ulienda straight kwa Rais,
Jaribu kuwa na aibu kidogo na hizi spin, wadhamini wote wameitwa mbele ya Rais wamekataa kuhusika na mkataba, mawakili wa serikali, CCM, na wa binafsi wamekataa kuidhinisha mkataba sasa unapitishwaje na CC?
Utaratibu wa mchakato wa CCM ungetakiwa kufanywa kabla ya kuupitisha mkataba bro hizo ndio kanuni, huendi kuchakata mkataba baada ya jengo kuanza tayari, mbona unatufanya na sisi hapa kama ni UV-CCM? Hebu kitaje ni chama gani duniani kinachoachia mkataba wa jengo linaanza kwanza halafu ndio kinafanya mchakato?
2.
1. Acha kujdanganya, ni lazima CC iatoe mapendekezo ya kwenda NEC kuhusu kufukuzwa kwa Nape, hayo maneno ya Nchimbi ya kujifanya anajua sana sio kanuni za CCM, kanuni za CCM ni lazima hii ishu ijadiliwe CC, ndio iende NEC ninaelewa kuwa kwa mawazo yako Nchimbi ni Mungu, lakini kanuni za CCM ni kwamba lazima hii ishu ikatazamwe CC, na ndivyo Nchimbi alivyokuwa ameagizwa na Rais, hiyo ni kanuni ya CCM kuwa lazima CC waiangalie hilo la Nape kufukuzwa, it has nothing to Nchimbi.
2. Mkataba umechunguzwa tayari na mawakili wengi tu tena mpaka independent kwa shinikizo la Rais, unless ameamua kujichanganya mwenyewe, maana juzi almkemea sana Mengi kuhusu maneno kama yako yaliyokuwepo Nipashe, sasa leo rais atageuka na kuupitisha, basi Nchimbi atakuwa ni very powerful man kama unavyoamini, lakini mimi ninaisubiri kesho in this.
3. Ulisema kwa jina la Fisadi Mtoto, sasa sielewi unapsoema ulisema kwa jina hili tena au?
Wewe naamini ni kichaa kabisa na nashangaa kwa nini hawakushauri....Nchimbi alikuulia mama yako mzazi? mnakufa na ukimwi mnasema mnalogwa mbwa wewe.
Ni kweli nilikuwa nangojea nipate uhakika wa yaliotokea kutoka vyanzo tofauti vya habari na sio kukurupuka kama wewe.Mbona hukusema toka jana, why saa hizi? Ndio kwanza wamekupigia simu nini? Bwa! ha! ha! ha! ha!
Wewe unayesema leo na mimi niliyekwua ninasema toka jana ya huko ndani nani anyedandia maneno mkuu? Jaribu ku-stick na hoja mbona umeanza vizuri na hoja sasa unaanza kubadilika na wewe una ukweli?
Mimi ni nakuwa mpole kwa kuwa najua wewe kuwa huwa hukubaliani n a ukweli na ni mbishi....ulisema kama kweli Nchimbi alisimamia ujenzi wa shule utampa nishani,ukasema unamtafuta Kajege.umekimbia kimyakimya
....sasa leo umesema kama kesho mkataba utapitishwa basi utaamini kuwa Nchimbi ni most powerful man kuliko JSM....Naomba kesho uonyeshe uungwana kwa kuja na kukiri wazi kuwa humwezi wewe,wala mama yako Kilango na wala Mh Seguyemisi...plz uje na kukubali please.
hakuna chama kisicho na maadili.Nape kafukuzwa ni kikao halali kabisa.wajumbe 108 wa baraza kuu la taifa kutoka mikoa 26 ya tanzania.wanachama gani uliotaka wakae zaidi ya hao wawakilishi halali waliopewa nguvu ya kikatiba na ccm ya kuwarudi watu kama nape....futa kauri yako ya wajumbe halaliBila kujali tofauti zetu kisiasa lakini kufukuzana uanachama na uongozi ni tabia za kikomunisti ambazo zimepitwa na wakati.
Kama mtu hafai basi mpeleke kwenye wanachama wakaamue hatima yake na wala sio kagenge ka wapambe kanaamua kufanya maamuzi ya kijinga kama hayo. Inatakiwa kiongozi asimamishwe/afukuzwe na kikao kile kile kilichomchagua na sio vinginevyo.
Nape kama ana umri mkubwa, hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa UVCCM. Ila kumfukuza uanachama ni siasa za kizamani na kijinga ambazo haziwezi kujenga taifa.
Ni kweli nilikuwa nangojea nipate uhakika wa yaliotokea kutoka vyanzo tofauti vya habari na sio kukurupuka kama wewe.
. hoja ya elimu ya nchimbi haikuwa na uhusiano na kujenga shule.
kwani baba yako akikupeleka chuo kikuu ina maana kuwa yeye pia ni lazima awe amesoma chuo kikuu...
sasa ulisema kuwa Nchimbi ka ma ameweza hizo shule ungempa nishani.niko tayari kuingia katika kuonyesha elimu yake kama utakuwa muungwana na kukiri kuwa record yake ni bora kabisa.
.....kesho utajifanya kama sio wewe uliosema kuwa mkataba ukipitishwa basi Nchimbi atakuwa most powerful man....naomba kesho FMES uje na kukiri kuwa yametokea.
Just hype and bull....?