Swadakta!! upofu wa kufumbia ufisadi ni ufisadi. Ndio maana hiyo habari hata kama ilikuwa ni ya miaka 100 iliyopita ni valid kuja sasa haijalishi kama itamvurugia mtu mambo yake au laa. Suala kuwa limeshajadiliwa humu haiwi immunity ya kufanya lisijadiliwe tena as long as wachangiaji wapo ndio uhuru wa kujieleza wenyewe huo.
Nani fisadi kati ya Nape na baba yake its up 2 u 2 figure out, do ur home work mate...
Mtani Masatu,
Je unamlaumu Nape kwa kuwa "mwana haramu"? Aliyekuwa fisadi na kutoka nje ya ndoa ni Baba yake Mzee Moses Mnauye na si sahihi kumtuhumu Nape kwa "ufisadi" unless naye Nape kafanya mambo ya Kifisadi kama kuhujumu au kuzalisha nje ya ndoa!
Mtani Rev Kishoka
Hapana u got it factually wrong. Sijamlaumu Nape wala na wala sijamhukumu mzee Nnauye (RIP) kuwa ni fisadi.
Ninachotetea hapa ni dhana nzima ya uhuru wa maelezo na na maadili ya viongozi wetu. In the process kama watajwa hapo juu wamo let be it!
Maadili ni muhimu uzinifu na kutoheshimu ndoa ni sehemu ya ufisadi. Kiongozi anaeisaliti ndoa yake na familia yake ( watu ambao yupo karibu nao sana kila siku ) hatoshindwa kuwasaliti watanzania kwa uwingi wao.
Nawapongeza Global publishers kwa uthubutu wao huu mkubwa. Vita ya ufisadi lazima ianzie huko majumbani mwao (charity begins at home) Hizi hoja za asie na dhambi aanze kurusha jiwe ( Bwana Yesu hakumaanisha kuhalalisha uzinzi) tunazitafsiri sivyo ndivyo. Hata ukiwa kaburini haizuii watu kufukua uozo wa kiongozi tunahitaji taifa la waadilifu na majibu kama "viongozi wote wanafanya" ni hoja legevu na lemavu. Wachina wana msemo "a journey of thousands miles starts with single step" nasi tuanze na huyo na wengine mpaka tutafika.
acha uchovu wako, kaungane na wachovu wenzako akina global publishers, clinton alikuwa mtoto wa nje ya ndoa lakini unajua uanaume wake, kwani wewe wa ndoa damu damu umelifanyia nini taifa hili
sahihisha-a journey of one thousands miles start with single tread, siyo step, kwani step unapanda unaenda mbinguni?
Couldnt get this one either!
Mbona hamna habari umu! magazeti mengine hovyo sana na yameshaumiza watu wengi sana kwa habari zao famba.
Mbona hata skendo yenyewe hamna au wanatumiwa!? wanachi msinunue magazeti ya namna hii ili kutoa dicipline.
Lakini hayo ndio magazeti yanayonunuliwa sana na wananchi....ikiimaanisha ndio habari asilimia kubwa ya watu wanazopenda. Majority ya watu wetu hawapendi habari za kuwafanya wafikiri na kutafakari ila zaidi habari za fulani katembea na fulani etc...
Hao Waungwana wa Global Publisher wameishiwa....Haileti maana kwetu kujua Nape kazaliwa na nani?Tunachojali na kuheshimu ni Nape amefanya nini kwa jamii inayomzunguka....Haina maana yoyote kuelezwa hapa Nape kazaliwa na nani,awe Abdallah Natepe (RIP) au Abdullhaman Juma.Ni imani yangu kuwa Nape kafika hapo alipo kwa Juhudi zake binafsi za Utumishi wa Umma,na wala sio kwa sababu Baba yake alikuwa Muasisi wa CCM...Mbona hatuwaoni watoto wa Kamanda wa Vijana wa CCM (Ngombale Mwiru) wakiwa katika nafasi hizo?Nape usihudhunishwe na Maandishi ya hao Wachovu (Global Publisher).Simamia kile unachoamini..Hakuna Mtanzania bora kuliko mwingine,ni wazi HAKI itachukua nafasi yake...Aluta Continua!!!
Hivi vijigazeti vya udaku si ndio vya yule eric shigongo? njaa tu hiyo!
Hivi vijigazeti vya udaku si ndio vya yule eric shigongo? njaa tu hiyo!