Sakata la Nape Nnauye na UVCCM


haya wazee , naona Nnape ndio ashapewa kkiti kikubwa zaidi yake, je atakiweza?
 

mpaka sasa hivi Nnape yuko kifua mbele?
 
:bolt:
Safi sana sasa wamchukue na Nape katika hili kundi timu itakuwa imekamilika:A S 465:
 
:bolt:

Safi sana sasa wamchukue na Nape katika hili kundi timu itakuwa imekamilika:A S 465:
Nape hawezi ibadilisha CCM as far as JK ni gamba.
Nape hajataja mpaka sasa hivi fisadi hata mmoja sasa anaanza kupoteza mvuto.
 
ishu nadhani iwe ni kuwa of all 3,000,000 members wa chama and so hakuna watoto wa kina ngonyani, masalakwilanga, arifo, mkumbo.... na wengine wenye uwezo wa kuongoza? au uongozi ni kitu iko damuni kwa watu fulani tu?? eg makamba....mnauye.....kikwete....kawawa....kasela bantu.....etc???

mi nadhani sasa umefika muda tuwe na MFALME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…