Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu.Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
Lowasa 😂😀🐼Hebu acheni utoto nyie watu
Huyo Makamba alianza kulaumiwa wiki ya kwanza tu alipoingia ofisini kwann kipindi kile hamkumlaumu waziri aliyetoka?
Kalemani alipokuwa pale mgao wa umeme ulipungua sana na kadhia ya kukosa mafuta haikuwepo enzi ya Jiwe!! Magufuli alikuwa havumilii ujinga huu hata mara moja!!Hebu acheni utoto nyie watu
Huyo Makamba alianza kulaumiwa wiki ya kwanza tu alipoingia ofisini kwann kipindi kile hamkumlaumu waziri aliyetoka?
Huko kizimkazi kaenda mara ngapiKalemani alipokuwa pale mgao wa umeme ulipungua sana na kadhia ya kukosa mafuta haikuwepo enzi ya Jiwe!! Magufuli alikuwa havumilii ujinga huu hata mara moja!!
Ingekuwa mama Abdul mchapa kazi , badala ya kujifungia KIZIMKAZI anajipaka ina angekuwa anatembelea maghala ya mafuta kuhakiki kama kweli hayapo au yamefichwa!!
URAIS ni mzigo mzito sana kwa huyu bibi ; nyie ccm tafadhalini msaidieni kuutua msimuonee haya kwa manufaa ya nchi .
Huko kizimkazi kaenda mara ngapi
Mmh what is so special with him!?Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?