thread critic
Member
- Jul 17, 2012
- 71
- 14
hili sakata la amendments za pension tulitegemea kusikia maoni toka kwa waziri kivuli wa kazi wa CHADEMA waje na hoja mbadala lakini kimya
hajulikani ni nani na haieleweki kwa nini kaingia mitini
hii inaashiria nini?
Wanaodhani CDM ni muarubaini wa matatizo ya waTanzania wanakosea sana.
Na CUF je?kuna mtu alisema CHADEMA ni sawa na CCM B
Na CUF je?