Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Hata ripoti ikijadiliwa wakati huu hamna mtu atawajibishwa. Tukubali tu tumepigwa
 
BUNGE ni DHAIFU tuuu muda huo wa mwezi wa 11 baadhi ya watuhumiwa wengi watakuwa wameshahamishwa vituo vyao vya KAZI na nyaraka za utetezi zitafichwa kupotezwa kuteketezwa Kwa moto au utasikia Kuna chaguzi ndogo za majimbo au kata Ili kupotezwa Watu focus.

Fisiemu ni majizi na yanazidi kufuga wezi.
 
Wadau nawasalimu.

Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu!

Mfungo mwema.
Bongo lala ya Samia Hii mkuu mama anaupiga mwingi.
Watu washalamba Asali wakanyamaza. Ila kiukweli siyo sahihi
 
Wadau nawasalimu.

Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu!

Mfungo mwema.
Ushoga unajadiliwa vipi bungeni wakati sheria za ushoga na usagaji zipo kwenye katiba? Ni makosa ya jinai kama makosa mengine. Bunge wasitumie pesa za wananchi kwa kujadili vitu vya ajabu. Polisi ndio wanapaswa kuwajibika kutoa ufafanuzi kwa mashoga kujinadi bila kuchukuliwa hatua.
 
RICHMOND haikuwa Bunge la Bajeti, ile ilikuwa mwezi FEBRUARY. Na Bunge la Bajeti linaanza Mwezi wa Nne.

Tafuta kwanza vyanzo vyako vya uhakika.
Suala sio vikao vya bunge suala ni kujadili tumia akili muda fulani
 
Wadau nawasalimu.

Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu!

Mfungo mwema.
Kadri unavyompa muda mtuhumiwa ndivyo unavyoingiwa na huruma.Tena kwa hawa wabunge wa
kubebwa kina babu tale,mwinjuma,nkmhh!!
 
Suala sio vikao vya bunge suala ni kujadili tumia akili muda fulani
Wewe ndio hujatumia Akili, Ripoti ya CAG hajadiliwa bunge la mwezi Novemba. Ache mihemko, ua umekalia KUNI hapo?
 
Aliyepaswa kuondoka ni Yeye... Maana kashindwa yawajibisha mafisadi.

So tulieni..
 
Back
Top Bottom