Sakata la Sitti Mtemvu

Ohooo,ulikua hujui ndugu? Ndio hivyo mwaka huu hakuna miss tz.

aisee nifah hili sakata sikulifuatiliaga hadi mwisho, so wamefungiwa na serikali au miss world ndo wamewafungia?

btw hivi tunaenda lini Zimbabwe kukamilisha ratiba? sina ratiba ndg yangu
 
Last edited by a moderator:
aisee nifah hili sakata sikulifuatiliaga hadi mwisho, so wamefungiwa na serikali au miss world ndo wamewafungia?

btw hivi tunaenda lini Zimbabwe kukamilisha ratiba? sina ratiba ndg yangu

Ndio hivyo ndugu walifungiwa na serikali sio miss world.

Mwenzangu hata sijui ila itakua weekend hii kati ya j mosi au pili.
Itabidi tuwaulize akina mkolaj kwa uhakika zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo ndugu walifungiwa na serikali sio miss world.

Mwenzangu hata sijui ila itakua weekend hii kati ya j mosi au pili.
Itabidi tuwaulize akina mkolaj kwa uhakika zaidi.

Kama wikendi hii mbona majanga, kuna vifaa vyetu (Ngasa, Canavaro) viko kule Mwanza na stars kwa ajili ya mechi na Malawi
 
Kama wikendi hii mbona majanga, kuna vifaa vyetu (Ngasa, Canavaro) viko kule Mwanza na stars kwa ajili ya mechi na Malawi

Lakini mito si umeshasema ni game ya kukamilisha ratiba tu?
Hatuna haja ya kuogopa, tuwaze mbele sasa.
 
Last edited by a moderator:
Siiti kugombea ubunge temeke, baba yake kumwachia kiti hivi karibuni hadi sakata lake la kufoji limekufa kimya kimya ili apewe nafasi.
 
[h=2]Kigogo wa RITA aliyetoa cheti cha kuzaliwa cha Sitti Mtemvu matatani[/h]
Kigogo wa RITA aliyetoa cheti kwa mtoto wa mbunge Abbas Mtevu ameanzwa kuchunguzwa kama kweli alifuata taratibu za utoaji wa cheti.

Vikao vilikuwa vikiendelea RITA manispaa ya Temeke kujua kama kweli cheti ni original au cha kupika, ingawa taarifa za ukweli ni kwamba cheti hicho ni original.

Inaonyesha Sitti Mtemvu anamiliki vyeti viwili
1. Kabla ya rita kuanzishwa . Ambacho alizaliwa 1989

2. Kipya kinachooonesha ana miaka 18.

Haki itendeke isiwe ugomvi wa wakurugenzi wa Rhino agency ; wanamtupia msala binti Mtemvu.

Last edited by R.B; 17th October 2014 at 11:36​
 
Lakini mito si umeshasema ni game ya kukamilisha ratiba tu?
Hatuna haja ya kuogopa, tuwaze mbele sasa.

Ila kweli aisee, nahisi baada ya wazimbabwe sasa tutapangiwa waarabu khaa, mwisho wa mbio za paka sakafuni nauona!!!
Halafu nifah ujue tunachakachua uzi wa watu, huku siyo michezoni ujue!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi anaenda kufanyia shighuli Morogoro..siku ya wanawake alienda huko ili asalimiane na Kikwete.

RITA wameshaongwa na mbunge aka baba sitti.

Labda now wataona thread yako na kushtuka kufanua kitu.

Ila bado ni furaha alivuliwa taji...furaha hadi leo.
 
Akiitwa kujieleza ili ahukumiwe kutokana na kosa lake, atakimbilia mahakamani kuweka zuio la kutojadiliwa na kamati yoyote, hivi ndivyo Tanzania inavyotumia mahakama kama kichaka cha wahalifu.
 
kigogo wa Rita mwenyewe yupo kwenye mgao wa Escrow..

wanahangaika nae.. watamchunguza sitti wakati wenyewe wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…