masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF.
Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio dhaminiwa na NHIF.
Sakata nyuma ya skandali nzima ni kwamba waziri alilishwa asali na NHIF wakati behind the scene wafanyakazi ndani ya NHIF "wamejikopesha" zaidi ya 200bn, fedha za michango ya wachangiaji wa NHIF.
Mbaya zaidi hospitali nyingi zinaidai NHIF zaidi ya 60bn.
Hospitali moja mashuhuri DSM, SANITAS imefunga hospitali kutokana na madeni ya NHIF.
Mbaya zaidi NSSF wamemshitaki mkurugenzi wa hospitali hiyo kutokana na kushindwa kulipia wafanyakazi wake michango.
Mawaziri wengi na vingunge wanatibiwa Agha Khan, sasa huduma imesitishwa.
Mama Samia kashtuka almost too late!
Sasa Ummy out!