Sakata la ushoga: Afande Sele awatuhumu watangazaji wa Clouds na Efm

Clouds FM ni tatizo. Ngoma njenje! Hivi Ruge yupo wapi?
 
Selemani mwenyewe kwenye nyimbo yake Mkuki moyoni alitaka kuliwa sijui na muarabu gani kinyimbo nyimbo akajifanya kachomoa sasa ki ukweli nani anajua ?

Ni mwendo wa kuchafuana tu dah inasikitisha
 
Huyo nae anatafuta umaarufu baada ya kupotea kimuziki na kisiasa.

#MtazamoWanguSiungiMkonoUshoga
 
Mnaotaja Kitenge na Shafii (sidhani kama mnaelewa anayelengwa hasa) japo ni tetesi kutoka kwake 'seleman Msindi ' ila anayelengwa zaidi hapo ni Ephraim Kibonde, juzi tu kaenda kichambua soka la Arsenal v Liverpool.

My take : Tangu Afande sele akose ubunge kawa na akili za kwendea haja kubwa na chama alichohamia saivi ndiyo kinamfanya anasahau hata kujiswafisha nyeti zake.

Nduki[emoji125][emoji125]
 
Selemani mwenyewe kwenye nyimbo yake Mkuki moyoni alitaka kuliwa sijui na muarabu gani kinyimbo nyimbo akajifanya kachomoa sasa ki ukweli nani anajua ?

Ni mwendo wa kuchafuana tu dah inasikitisha
Hahahahahaha
 
SA
Watanzaji wanao kwenda sana nje
Shafii Dauda
Maulid kitenge
Oscar Osca
Maestro
Edoku Mwembe

Lakini hapo ni kama wana lengwa Maulid kitenge na Shafii Daudi
NA SANA MAULIDI KITENGE
TATIZO LA AFANDE AMEKUA KM KADATA HVI DIZAIN
YE KAaMUA KUMTUMIKIA KAFiRI BHAX AENDELEEE HVY HVY ASILAZIMISHE KILA MTU AMTUMIKIE KAFIRI

KONKI MISTRESS NYWELE CHAFU ZINAHITAJI KUOSHWA NA OILSAFI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…