Mh hii hatari, sijui ila kuna kipindi fulani aliripoti kuhusu kufanyika mashindano ya kumtafuta miss shoga wa afrika mashariki na alisema hayo mashindano ni ya siri sana. Sasa kimbmbe Charles alimuuliza yeye alipataje taarifa hiyo ya siri alihamaki kweli