Sakata la Utekaji: Rais Samia anambeba Waziri Masauni

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema.

Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake ni kwamba wamezidiwa kete na watekaji au wao ndio watekaji.

Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi awajibishwe ila kwa bahati nzuri, yeye sio Mtanganyika.
 
Slaa anasema ukweli usemwe.

Slaa alikuwa kwenye igizo tu pale wewe bibi ,alishalipwa kwenye ile scene ,alikuwa anasoma script tu ,kama aliyoyasema ni kweli mbona hakuna aliyekamatwa hata mmoja wakati amewataja? Acheni FUTUHI ,Jiwe mwenyewe alikuwa mtu wa Maigizo lakini alikuwa anajua kwamba WATANZANIA siyo wajinga.
 
Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema.

Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake ni kwamba wamezidiwa kete na watekaji au wao ndio watekaji.

Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi awajibishwe ila kwa bahati nzuri, yeye sio Mtanganyika.

Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi awajibishwe ila kwa bahati nzuri, yeye sio Mtanganyika.
 
Na kuna siku alilalamika.
"Kuwa mnasema tanzania kuna watekaji mwisho wa siku watalii hawaji tanzania mtapata faida gani"?
Sasa wakaamua kumuonesha kwa vitendo.wewe si umesema tanzania hakuna watekaji.wamemchukua kibao wamekwenda kumuua.
Sasa masauni atuambie je tanzania utekaji upo au haupo.
Na yule aliyesema utekaji ni drama pia atuambie kama ni drama au shoo ya ukweli
 
Siyo masauni tu.Ilitakiwa na IGP ajiuzulu na ingemjengea heshima kubwa sana.miaka ya nyuma kuliwahi kufanyika mauaji kipindi Cha Nyerere kama sikosei na wakuu wa vyombo IGP,waziri wa mambo ya ndani na DGIS wote walijiuzulu na huo ndio uwajibikaji wenyewe.watumishi wa Sasa wako tayari watanzania wauwae wote lakini hawawezi kujiuzulu
 
Wazanzibari hawa hawayajui hayo.
 
Haijalishi wametekwa na nani, vyombo vya ulinzi vilipaswa kupata taarifa mapema. Hivyo mzanzibari huyu alipaswa kuwajibika.
Slaa anasema ukweli usemwe. Yona anasema chadema watekaji. Wewe unasema ahaijalishi ametekwa na nani. Mimi nasema inaja;lisha sana ametekwa na nani. Kinachotakiwa ijukane, kwa sababu gani?
 
Akili ya kimgando sana hii
Tunataka kufahamu nani anateka watu

Wawe CCM,CDM ,CUF ,ACT AU YEYOTE
TUNATAKA TUMJUE ACHUKULIWE HATUA. KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI YETU

ITOSHE HIVYO ACHA SIASA ZA KIMGANDO
WEE BIBI SHUNGAAAAAAAKE

Kwani hukumsikia "rahisi" akitamka kuwa kuna watu ana taarifa wanataka kuharibu amani 😊, maana yake anawajua...
 
Slaa anasema ukweli usemwe. Yona anasema chadema watekaji. Wewe unasema ahaijalishi ametekwa na nani. Mimi nasema inaja;lisha sana ametekwa na nani. Kinachotakiwa ijukane, kwa sababu gani?
Kama CHADEMA ni watekaji kwanini polisi wasifanye kazi yao? Wanaacha mpaka watu zaidi ya 100 wanatekwa? Hawa wazanzibari wanabebana, wanapaswa kuwajibika kwa kushindwa kulinda raia.
 
Slaa anasema ukweli usemwe. Yona anasema chadema watekaji. Wewe unasema ahaijalishi ametekwa na nani. Mimi nasema inaja;lisha sana ametekwa na nani. Kinachotakiwa ijukane, kwa sababu gani?
Wewe bibi kuna nyakati unakuwa mtu wa hovyo sana, unaendekeza sana udini.
 
Back
Top Bottom