Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema.
Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake ni kwamba wamezidiwa kete na watekaji au wao ndio watekaji.
Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi awajibishwe ila kwa bahati nzuri, yeye sio Mtanganyika.