Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada?

Viongozi wa mkoa wasitumie mamlaka zao kumsurubu aliyesema ukweli, ni wazi naada ya video kutoka walikusanya madeski na kuyapeleka hapo shuleni Sinde.

Soma zaidi:
Mwalimu wa field aliyesambaza picha za watoto wamekaa chini kufukuzwa (uhaba wa madawati)
 
Back
Top Bottom