Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada?