Sakata la wanafunzi kukosa mikopo: TAHLISO yazidi kuikaba Serikali

eti kuna jamaa anasema course nyingine bodi hawatoi mkopo kwa maana watashindwa kuulipa, coz ni non priority so hawatoajiriwa na hawatokua na njia ya kurudisha mkopo wao. ni kwel hv?
 
kumbeee nlikuwa siyajui hayo, ngoja nijipange, mwaka wa kwanza nafanya kitu cha maana
 
inapendeza hata sisi hoihae tutasoma huko vyuoni nation cake for all tanzanian and few of us
 

la vyuo kupandisha ada naona lmefankiwa nilienda chup flan nikiwa na tetesi za ada kupanda naada ya.kuwauliza walinambia ni kweli ilikua proposed lakin imekua canceled so ada zimebak zile zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…